π π π π Ela zao walizochanga ni kama wamechana mkeka wa muindi vile,, jamaa badala yakwenda CAS kaenda Azam π π Dunia hii ndogo Sana ππby the way All the best
Alhamdulillah π€² thanks Allah Hakika ww ni wa pekee ktk maisha yetu π€²
tumepata tunacho stahiki 90 za kwanza plus 10 za refa π― zimeisha π€£ π π naiman next game tutatoboa, ππ
we are champions no matter what π° π°,, good job brothers π π π°
hakika mmepambana @yangasc1935