@nyuki_malkia Kwenye alama ya plus (+) natoa hiyo stick iliyosimama ( vertical stick) then naiweka kwenye hiyo namba ya kwanza juu kulia (itakuwa inasomeka 9. itabaki stick moja iliyolala (horizontal stick (-) ) ambayo itasomeka kama alama ya kutoa ( minus).
Then,
9-7=2