None of us will see 3025, RIP to all of us.
Humble reminder. Nothing last forever💔🥹
1000 years from now this comment section will be full of memories😭😭
KEEP ENJOYING 🥂WITH FEAR OF GOD WITHIN US🙏
REMEMBER TO PRAY🙏
None of us will see 3025, RIP to all of us.
Humble reminder. Nothing last forever💔🥹
1000 years from now this comment section will be full of memories😭😭
KEEP ENJOYING 🥂WITH FEAR OF GOD WITHIN US🙏
REMEMBER TO PRAY🙏
2023 & 2024 Mimi na mwanangu tulipiga kazi kubwa sana kuhakikisha wacheza KAMALI wanakuwa Proud na kazi yao na wasiifanye kwa VICHO. Rekodi zipo wazi.
2025 mimi nilikuwa BIZE na kupambania HAKI NA UKOMBOZI aa taifa, mwanangu aliendelea kuhakikisha KAMALI inaheshimika na aliweza BIG TIME MY NIGA.
2026 TUNARUDI tena mezani na mwanangu kuangalia WAY foward kuhusu KAMALI. Harakati za UKOMBOZI zitaendelea bila kuchoka.
KITAALAMU unaweza kusema “BIG BOYS” tunarudi mzigoni kutoa SHULE YA KAMALI.
@sativatips17 X @Thereal_taivina
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Anaitwa CP JOHN KAAYA yupo kwenye DAWATI LA DORIA MITANDAONI—huyu alikuwa Shahidi namba mbili kwenye KESI ya Tundu Lissu.
9.11.2025 alinitumia EMAIL kupitia Gmail account ya “Crime desk Tanzania” na kunitisha na kuwa WATANIPATA TUU ni suala la Muda. Sikumjibu kitu maana meseji za VITISHO nimeanza kupokea nina mwaka na nusu sasa.
Nimetunza email yako subiri muda Wa SIMULIZI ufike dunia itajua tunaongozwa na VIBAKA waliokosa Weredi.
Tangu nitekwe ni mwaka na miezi 6 sasa hakuna chochote mlichofanya kuwajibisha walioniteka—zaidi mmewekeza nguvu KUNITAFUTA na kuniteka tena na round hii mmeniahidi HAMTAKOSEA.
Nyie si miungu watu acha INYESEHE.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Davido atupe LINK sasa ya kumpigia kura huko GRAMY tukafanye kazi hiyo kwa WIVU MKUBWA.
Kila anaeshindana na DAVIDO kwenye GRAMMY ajue anashindana na Gen z wa bongo. Tutamchagua DAVIDO KWA WIVU MKUBWA SANA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡
Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa wasanii na watu maarufu wa Tanzania wako busy na vibao kata hata kupaza sauti hawawezi 🚮
Ni uchungu kuona namna ambavyo angeweza kung’aa, lakini akasukumwa gizani na ukatili wa watu waliokataa kuona utu wake. Mungu azidi kumpa nguvu ya kuvumilia magumu anayopitia naaamini she will come back stronger 🙏❤️
#FreeNiffer
Kuitwa mfata MKUMBO kisa kudai HAKI na utawala bora wa Sheria kusikutoe Mchezoni Mkuu.
Ni kheri kuwa Mfata MKUMBO katika Upande wa HAKI, kuliko kujiona MWENYE AKILI katika upande wa DAMU
🚶🏾♂️
#TajiriLaKihaya
Kujadili UTEUZI WA MAWAZIRI…
Eti Fulani Kaachwa Fulani kateuliwa…
Ni kwamba UMESHABARIKI UCHAFUZI ULIOTOKEA…
Na nikuwakosea heshima Ndugu zetu waliofariki Kwenye Harakati…
Tuwachunie- kausha…
Tujadili mambo mengine Kama hauna mada ni BORA KUKAA KIMYA!