@HKigwangalla Mnamshambulua bure Mheshimiwa, yeye kapush hii agenda kimkakati, wote tunajua uwezo wake kwa wakili Msomi haufui dafu. Kibatara ni maji mengine usiupime kwa kuweka miguu
@privaldinho Believe me or not, ur going to loose all two games, Mtapigwa na Police Tanzania plus na ya Jmosi dhidi ya CRB , halafu utakuja na ujumbe wako km huu wa tumepambanq kiume