@nassor_01 Usiwe unatumia Bangi nyakati za jioni.. kama walikuwa 1000 na kila siku analala na wawili, maana yake kwa mwaka analala na 732. Hiyo miaka 500 we umeipataje kama sio Bangi za jioni za kuchanganya na ugoro
His Genious Masoud Kipanya in Action ...Ukitizama uelekeo wa bati hilo na Mvumo wa Upepo utaelewa tu kwamba tunafanya makosa sana kujaribu kuunganisha wagonjwa mahututi wawili ilikupata mtu mzima mmoja.
Tunachokifanya kukimbilia Russia kama njia ya kufunaza madai ya Uwajibikaji kimataifa haitusaidii kisiasa,kiuchumi wala kidiplomasia na kinatuhatarisha zaidi kama Taifa.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA TAIFA.
@egyies@AbroadTanzania Nyie ndio mnaifanya Bangi ionekane mbaya. Kwahiyo huko Zimbabwe na Zambia swala la leseni liko kwenye vipengele vya muungano na Tanganyika?
@nassor_01 Ukishaanza kupiga Nyeto lazima uwe na fikra nyembamba kama hizi. Hebu fanya ziara uende pale njombe au Tunduma kule, kawaangalie wale matajiri wanavaa nguo za aina gani alafu kaangalie ukwasi wao una thamani Gani. Kwenye mavazi kila Mtu anajua nini akivaa anakikubali
@MalkiaTabasamu Ukiwa na mwanaume anaewaza sex akiwa nawewe katika nyakati hizi, unatakiwa uende madhabauni ukatoe sadaka ya shukrani. Wanaume wamepungua sana, wengi wamebaki kuwa wakiume tu.