2 Mambo ya Nyakati 7:14
"Na watu wangu walioitwa kwa jina langu, wakijinyenyekeza, na kuomba, na kuutafuta uso wangu, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao."
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu Wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Na Sisi Tunavyowasamehe Waliotukosea
Usitutie Katika Vishawishi
Lakini Utuopoe Maovuni
Amina 🙏🏿🤲🏿.
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe; ufalme wako ufike, utakalo lifanyike, duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe waliotukosea, usitutie ktk vishawishi, lakini utuopoe na uovu.
Amina.
Yoeli 2:12-13
“Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga na kulia na kuomboleza; rarueni mioyo yenu wala si mavazi yenu; mrudieni Bwana Mungu wenu; kwa maana ndiye mwenye neema na huruma…”