Mama|dada|Mtanzania kweli kweli| Team Liverpoor| My Timeline is dedication to Tanzanian who love this country so much| Political motivation | RT no endorsement
Things are degenerating fast and the signs are there in #Tanzania
Yesterday footage emerged of a man fighting physically with a traffic cop after the policeman took away his car keys in a dispute. The man got very angry and asked for his keys to be returned and the argument degenerated into a fist fight until a soldier intervened. It turned out he was a doctor of internal medicine at Muhimbili National hospital and got the upper hand in the fight however later when his colleagues followed up at the police station they found him badly beaten (this was not from the fight we witnessed in the footage for sure!) and he was later taken to hospital to be attended then returned to jail!
It is boiling nicely! This level of outburst from a doctor shows high level of stress and anger bottled up among civil servants while Samia Suluhu and her murderous cabal strut around with fleets of car and fly abroad for treatment!
As I was saying this will not end well
Kumbe huyu aliyekuwa anapambana na trafiki ni daktari bingwa?! Basi mjue kwa sasa nchi imevimba kwelikweli! Madaktari siku zote huwa wanapewa priority katika traffic na hawasumbuliwi! Huyu polisi anajua kuna siku atapata shida ye na familia yake - anatarajiwa atatibiwa na akina nani?
Nakumbuka Baba alinieleza Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia “naheshimu sana madaktari maana inaweza kufika muda atakuwa ananihudumia mi sina hata fahamu na akatimiza wajibu wake!” It sounded like a good joke but it is a fact - madaktari wanafanya kazi kubwa na muhimu kuokoa maisha na kutibu - huyu traffic ajue dunia ni mduara! Makosa madogo ya traffic hata kama yapo isizuie daktari bingwa kuhudumia wagonjwa! Alafu mnampiga? Haya! MAT wafuatilie kama vipi hawa polisi wagomewe! Lazima madaktari waheshimiwe!
But eniwei #TutaelewanaTu
🚨Msiseme hamjaambiwa!‼️
Hii tume ya Jaji Lila inarudia kama ile ya Chande kutaka watu wakatoe ushahidi ila safari hii kazi yao ni kupoteza ushahidi wa kweli na kukusanya ushahidi wa uongo!
Ole wenu mkijipeleka!
Huu ni uhuni mtupu!
#TutaelewanaTu#SamiaMustGo
“I will be back!” 👊🏽🔥
Tundu Lissu is like the Terminator 🤣 hamtaweza kumwua isipokuwa kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu na yeye anaishi katika imani hii!
Much love and power to him ✊🏽
Tumaini la watanzania na hasa watanganyika! Hakuna kukata tamaa wapendwa na tuendelee kumwonyesha Lissu upendo mkubwa na sapoti - kamwe asije akakara tamaa
#FreeTunduLissuNOW
#FreeTunduLissu
UKIANGALIA HISTORY vizuri Tanganyika tumerudishwa 1644 huko kwenye kakistocracy , mambo anayo fanya Samia sasa yalifanyika miaka hiyo zamaniiiiiiii wakati wa ujima watu wakiwa wajinga wajinga,
UKIANGALIA katuni hapo CHINI Deo anajibu madudu tu hata hajui ameulizwa nini, yeye ni kama vuvuzela la mama, linapiga mdomo halijui kitu, hakuna katuni best kama hii toka siasa zianze nchini. anauliza uteuzi anazungumzia mpira na bingwa wa kombe la Dunia, ni zezeta kabisa , hiyo sasa ndio PURE KAKISTOCRACY, mazezeta yanapewa nafasi za juu
kakistocracy History: The term dates back to the 17th century (appearing in a 1644 sermon by Paul Gosnold) and was later used by authors like Thomas Love Peacock in 1829. It has seen a resurgence in modern political
A kakistocracy is a system of government run by the worst, least qualified, or most unprincipled citizens.
Soma hii hapa chini kwa makini sana, ndio utaelewa teuzi za watu kama Msigwa, MwaFA, Makonda, Deo , Mavunde , Wasira , CHALAMILA , Mafwele, Jaji Mkuu wa sasa, Angela Kizigha, kutamalaki kwa JK, Riziwani, Aweso yaani ukiangalia ni mapapai matupu, sababu iko hapo chini na ni mambo ya kihuni ya miaka mingi sana pale ambapo hakuna mifumo inafanyakazi
Political Appointments: Appointing friends, family, or unqualified loyalists to critical government positions instead of experts.
E.g Samia suluhu and Deo
Historical References: President Warren G. Harding's administration is frequently cited by historians as an example due to the corruption and incompetence of his appointed "Ohio Gang".
E.g Samia suluhu and Deo
Modern Usage: Commentators use the term to describe governments or political administrations they view as deeply dysfunctional, corrupt, or driven by widespread ineptitude.
‼️🚨MAJAJI MSIKUBALI MAELEKEZO KUTOKA TISS NA ABDUL‼️
Jaji Dunstan Ndunguru (Kiongozi wa jopo)
Jaji James Karayemaha
Jaji Ferdinand Kiwonde
Taarifa za uhakika ni kuwa leo mnakabidhiwa maamuzi yaliyoandikwa na TISS kwa maelekezo ya Abdulhalim Ameir Hafidh ya kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu!
Na pia serikali inatumatuma watu wamwambie Lissu eti asilete mashahidi wengi maana majaji hawawezi kumhukumu so asijitetee sana kesi iishie mapema!
Sasa ninawashauri na kuwaonya:
👉🏽 Kila mtu amefuatilia kesi hii na ni dhahiri kuwa Lissu HANA KESI YA KUJIBU kwani hata mashahidi wamekinzana! Serikali ilidai alichapisha na kurekodi maneno yenye viashiria vya uhaini/uchochezi - ila shahidi wa Jambo Tv ameeleza si kweli wala Lissu hahusiki na kuna mazagazaga kibao inayoonyesha hii kesi imesha collapse
👉🏽 Abdulhalim hana wadhifa yoyote na TISS hawatakiwi kuingilia uhuru wa mahakama! Mna JUKUMU la kulinda heshima na wadhifa wa mahakama ila pia kumbukeni HISTORIA itawakumbuka ninyi kuwa mliandika hiyo judgement siyo TISS! Mnafiikiri mtaendelea kuwa hapo bila uwajibikaji!? Forget it! This is the end!
👉🏽 Mnaomshauri Lissu aipeleke mashahidi wengi au asijitetee ili kesi iishe alafu hawatamkuta na hatia wala kumfunga eleweni sisi si wajinga na Lissu ana akili zaidi yetu! Hawezi kukubali! Mkisema majaji kuwa Lissu ana kesi ya kujibu ina maana mmeshawishika na ushahidi wa serikali na mnahitaji Lissu ajitetee na kuwashawishi haswa ili msimhukumu! Kama mmepokea maelekezo leo ya Abdul kuna guarantee gani hamtapokea maelekezo ya hukumu? Lissu atawaita mashahidi wake wote incl Samia Suluhu, Philip Mpango hata kama itamchukua miaka 6 au 10! Hakuna kukubali eti mkute na hatia alafu kimama atoe msamaha! Tunaelewa mnachofanya!
👉🏽 Tuko mwisho wa CCM na Samia Suluhu - nyie majaji nawaambia kwa uhakika Samia hawawezi kuwalinda mkifanya madudu kwa maelekezo ya form four failure kutoka Kizimkazi! Nyie mna jukumu moja tu - kusimama katika haki na MSIKUBALI KUTUMIKA! Ijumaa ingieni na someni hukumu yenu siyo ya TISS!
Familia za hawa majaji waongee nao tusijesikia mmepata fedheha na depression kama former CJ Chande mkiamua kupokea maelekezo! Nchi imevimba!
Eniwei #FreeTunduLissuNow na #TutaelewanaTu
Wakuu Ijumaa ni sherehe unajua ni kwa nini?
1. Akionekana hana kesi ya kujibu tunaondoka naye
2. Nolle
3. Akionekana ana kesi ya kujibu tutapanga mashahidi na kwenye hiyo list tutaanza na samia na wengine watuambie yale maneno yaliitisha serikali?
Labda HC ihairishe yenyewe😁
Majumbe auwawi,
Ndani ya CHADEMA kuna kundi baya sana limetengeneza, Nyuma ya kundi hili yupo Lema kama Rais wa Kundi, kamanda wake wa vita ni Magere na wengine wanaongezeka kwa kasi
Hapa chini kuna habari mbaya kuhusu maafisa wa CHADEMA wanaofanyakazi na mfumo kungamiza CHAMA
Vijana wamemjibu Mzee Butiku 🔥💪🏽
Wanasema ushauri wako tumeukataa ❌
Na wameonya wazee wengine wenye njaa wakome!
Tupo bize kukomboa nchi
#TutaelewanaTu
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema @nchimbie sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu anakasirika - so clearly umeonyesha ujasiri kuliko wana CCM wenzako huko ndani! Sad that we have reached so low!
Pia kuongelea Haki na kukubali hakuna Amani bila Haki na kutaka wanaharakati walindwe na kugusia kesi za kubambika na kutaka watu waachiwe ni jambo jema sana
Mwisho umetumia muda kuongelea Katiba Mpya na kutaka tupambanie
Kwa maneno haya mazuri umefanya jambo jema na wapo wengi ambao wamepata matumaini maana wamechoka na chokochoko zenu CCM na kimama chenu kutwa kuwinda na kuumiza watanganyika!
Sasa baada ya haya nataka ninyooke na mambo kadhaa maana mi si mnafiki
Kwa kifupi maneno mazuri hayatoshi kwa hapa tulipofika maana hata Samia alikuwa ana kauli positive na 4R zake ila I was not impressed!
Kwa sababu mi nathamini matendo!
👉🏽 Kuna sheria zaidi ya 40 ambazo ni kandamizi na ktk sekta tofauti zinatumika kutuadhibu na kutuumiza katika harakati zenu za kutunyamisha hii ni pamoja na sheria za Cybercrime, Takwimu, Ugaidi, uhujumu uchumi, Statistics law, NGO law nk
Bila kufuta hizi sheria mtaendelea kutupa haki zetu kama hisani - FUTENI
👉🏽 MO29 hatuwezi kuweka kando na kuongelea KatibaMpya na Maridhiano bila kwanza kukabili hili DOA kubwa! Watu waliuwawa, damu ilimwagwa kwa hiyo LAZIMA waliohusika wawajibishwe na tuambiwe ukweli - nani alihusika, miili iko wapi nk. Wewe ni mnufaika wa mauaji haya - sasa kama utaonyesha ujasiri kukubali na kuhakikisha Haki na Ukweli unapatikana hakuna mtu atakuwa na mashaka na uwezo wako kama kiongozi!
👉🏽 Katiba Mpya tunautaka ila kwa mazingira ya sasa na bunge hii hapana hatuwezi kupata Katiba Bora - so turudi kule kwenye serikali ya mpito! Rais haramu anataka hataki - we don’t care! Katiba ni Yetu wananchi! Hatusubiri mtupatie! Ila tutafurahi mkikubali kushiriki tukiwa wote sawa na si ninyi kama watawala
👉🏽 Una uwezo hata leo kuhakikisha Lissu anaachiwa na vijana na lecturers waliopewa ugaidi wanafutiwa kesi hata kesho! Wote waliotekwa kabla na baada ta MO29 akina Mdude, Polepole, Soka nk tuambiwe hatma zao na waliohusika kisha wawajibishwe wote! Mi NINAJUA ukiamua unaweza - so do it!
👉🏽 kuhusu wanaharakati - hakuna hata mmoja wetu aliyeamka na kuamua kuwa mwanaharakati! Sote tulikuwa na kazi zetu ila tuliamua kutokaa kimya kwa sababu ya dhulma! So hili si suala la sisi kujuana au kutojuana - tuamue kwa pamoja kuwa tusikubali tena mtu awindwe kwa sababu ya utofauti wa kimawazo - hata akikutukana usitumie wadhifa wako kumkomoa! Kila mtu ahakikishiwe usalama na walio nje wakiamua kurudi wasibugudhiwe! Hii isiwe hisani au ishu ya kujuana!
Mwisho kabisa mi nina trust issues na CCM maana nawajua kama vile nimewazaa!
So kujenga imani tunahitaji VITENDO zaidi kuliko maneno!
Mungu akupe uwezo wa kunielewa na kufanya yote
All the best!
Hakuna kitu kikubwa na faraja hapa Dunia kama kupigania HAKI, Kusima kwenye HAKI. Tundu Lissu amefungwa na Samia lakini ni kimwili tu, roho yake iko huru
Samia amefungwa kimwili na kiroho , Samia amefungwa na Mungu, amemnyima KUKUBALIKA machoni mwa Dunia, Amemnyika mafanikio, anatembea kama sanamu tu hana heshima yoyote popote pale, anaishi kwenye uongo
Samia anatembea ananuka damu , Hauna furaha yoyote amechoka/amechakaa vibaya sana
@MsigwaPeter alipojiunga na watesi wetu alianza kupauka kwa kasi sana, Kule CCM ni jehanamu kabisa, watu wanaishi kwenye uongo na fitina nyingi sana.
toka ameondoka tu huko na kurudi CHADEMA sababu huko huru kuzunguma , kusema ukweli, kupigania HAKI, hata afya imerudi
Kule CCM ni kugumu sana, ni kama kutembea na lori la mawe kichwani, Uongo uongo , fitina na ukatili
‼️TANZANIA AMKA ‼️
Thank you @IMFNews@IMFAfrica for not enabling a murderous cabal! We will be back once we have a democratic government
Thank you!
Mnakumbuka akina Girishoni walikuwa bize wanatangaza IMF imeidhinisha mabilioni kwa serikali haramu? Hayaaa! Wamefuta kauli 😁
Tafsiri:
IMF Yaondoa Taarifa Kuhusu utoaji wa Dola Milioni 443.9 kwa Tanzania
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) liliondoa taarifa iliyotangaza utoaji wa dola milioni 443.9 kwa Tanzania, ambayo awali iliripotiwa kuwa na tarehe ya Julai 10. Shirika hilo lilithibitisha kuwa hakutakuwa na toleo mbadala linalokuja.
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
✊🏽 10 Years now fighting for #KatibaMpya ya Wananchi ‼️
Bunge la Katiba nimepambana na CCM na kutishiwa SANA but sijawahi kurudi nyuma
Muda umefika tumalize huu mchakato!
Sitachoka kupambania mabadiliko ya kimfumo
That is how we #ChangeTanzania
📸 2014 Constituent Assembly 🇹🇿
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Acheni kutoa povu! Msitake kuwapangia BBC wafanye interview ngapi! Mlishindwa nini kutoa mtu mmoja ajibu maswali! We kazi yako kama msemaji ni nini?
Utter rubbish and pure panic!! You are unfit for the job! 🚮
Sovereignity my foot! Good job @BBCAfrica
Eniwei #TutaelewanaTu #freeTunduLissu
Kusema ukweli hii BBC EYE imenipa machungu sana, kwamba huyu bibi anaweza mtesa Lissu watu kavumilia tu yaani?
watanganyika wote tumeruhusu huu ushenzi kuendelea?
Samia ana giza kubwa moyo mwaka, hapo IKULU anazungumza na kutuchukualia watanganyika kama wanyama tu, yeye anamuona Lissu kama kuku tu, hawezi kuwa na huruma naye, ana roho ina giza kali yawezekana ni kutoka na history yake ngumu aliyopitia, kumbukeni alipoteza ndoto zake akiwa na umri mdogo sana, hii mpaka kuja kuwa hapo alipo ni ajali, hizi ajali tunatakiwa zizuia kwa kutumia katiba, mtu asiye na ELIMU akamwe asije kuliongoza tena hili TAIFA, na viongozi wapimwe akili na history zao lazima ziwe na viwango
hii kuokota okota okota watu matokeo yeke ndio haya Lissu anateseka Jela kinamvizia kumchinja kwa kupewa hukumu kinayotaka na majaji ambao hawa weledi wala uhuru
Tusikubali sana huu upuuzi kuendelea, na nyie wazalendo kwenye mifumo matako yenu wote, mmevumilia huu upumbavu inetosha