@KINGLUDA18@blazadadee1 Katabia kakumfanya mbappe mshindan wake ni messiπππkabaya sana!!!
Mbappe wakwetu wote
France ya kwetu soteππππΌ
@KINGLUDA18 Na kaa ukijua kama mliamua kua france ghafla ili messi akose worldcup 2022
Tuliwaelewa wenetu fresh
Na sisi saiv ni france ili ronaldo asibebe pia mwaka huu!
France ni yetu sote