@UlimwenguJm@lifeofmshaba Yesu hakufia msalabani hilo faham mtu mwema kama yule hawez fia msalabani ukisoma bible msalaba ni laana. Pili hajafa kwaajili ya fhambi zenu na ndomana bible inasema mtoto hatabeba dhambi za babaye na kama kafa kwaajili ya dhambi zenu ile sala mnayosali kanisani ni ya nn?