@radiomaisha@emmanuel1 Karibu katika habari za maisha asubuhi Kutoka Kawngware mashabiki wameonekana wakifurahia wakingojea wrong number huku wakijiuliza kutaenda aje nkiripotia maisha asubuhi jina langu ni shikwekwe🔥🔥
Kaa Chonjo na Lotto Chonjo.
Shinda pesa taslimu kila siku, kila wiki, na kila mwezi.
Kununua ticket yako, nenda kwa lipa na M-pesa na utume 20bob kwa Paybill namba 348869 tumia jina lako kama akaunti namba.