Pc yangu hukuwa ya kustream ngoma pale brave na Spotify,podcasts YouTube na kustream ball na movies pale youcine but it was meant to be a money making machine till mfs decided to gatekeep opportunities,swali bado ni moja
Kuna this thing nimekuwa nikisikia especially when I was a teenager eti wamtelezz (nut) inaweza nonesha dem, as in ukimwaga ndani na ako on contraceptives ama akipaka kwa mwili especially haga, inaleta natural bbl😂😂