@korir_kelvin Niko hapo karibu sasa, unaona ukibranch kwa lami ndio huende kwa hiyo rough road kwa rotich home ni hapa kwa miti mingi ya chebarusinik mkuu.
Hapa drilling meters inaweza fika 100 kweli?
@itsKoech_ Eeh, Kuna msee hapo /15 anafanya civil engineering ajewai maliza, ameshinda tu kwa korir every sem since niingie chep 2018 hadi ni graduate tena juzi Friday nimempata tu hapo nikamshikia cupπππ