@MarieStopesTZA Nimependa sana wazo la kutumia watu mashuhuri kufikisha jumbe za masuala ya afya ya uzazi mitandao. Dada angu mwasiti kiatu hiki kinamtosha kabisa
@MarieStopesTZA Kwa ulimwengu wa sasa ni aibu kijana kujikuta umekuwa baba/mama ghafla tena kabla ya kuweka michongo yako sawa. Kwa kuwa ni ngumu kufanya mechi zisichezwe basi changua kucheza salama, tembelea kituo cha afya kisha chagua njia za uzazi wa mpango inayokufaa.
@MarieStopesTZA Kuna mwamba amehama mkoa kisa mpenzi wake kamwambia haoni siku zake. Getho lake lilikuwa na kila kitu lakini hajaweza kubeba chochote maana imekuwa ghafla sana, hii inamaanisha kwamba anakwenda kuanza maisha upya kabisa huko aendako. Usiruhusu hii ikutokee.
@MarieStopesTZA Imekuwa ni kawaida sana kwa vijana kusitisha ratiba zao za masomo na mishemishe za kujiingizia kipato kutokana na changamoto za afya ya uzazi kama mimba zisizotarajiwa, maandalizi duni wakati wa hedhi pamoja na magonjwa ya ngono. Afya kwa kijana ni mchongo, sogea tuyajenge.
We were extremely delighted to host the @APPGPopDevRep. Thanks to the @UKinTanzania for the continuous support and collaboration to ensuring women and girls have access to quality reproductive healthcare services and information. #Tanzania#UKAid@UNFPATanzania
@MarieStopesTZA Tumekuwepo nchini #Tanzania toka mwaka 1989 na tumekuwa tukitoa huduma za afya ya uzazi na afya kwa ujumla katika maeneo mbalimbali kwa kushirikiana na wadau wakiwemo @wizara_afyatz na @ortamisemitz
Ramani hii inaonesha maeneo tunayofika. #AfyaYakoHatmaYako
Takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi zinaonyesha kuanzia Januari hadi Juni 2021 watu 15131 walifanyiwa ukatili,tunapoadhimisha siku 16 za masuala ya ukatili wa kijinsia tuungane kupinga ukatili kwa vijana na wanawake kwani ukatili wa kijiniaa haukubaliki.
#16DaysOfActivism
@zittokabwe Mkuu katika jambo jema hakuna kuchelewa unless uwe na suruhisho mbadala wa hiki alichokiona yeye kuwa kinafaa kwa ustawi wa Taifa la wenzetu. Asante