@eastafricatv Wazirii..mama ake mbunge ..baba ake raisi mstaafu kazini bado rimonti ...hahahaha aya majaama yanatuona bado sisi wajinga wa enzi za uhuru ..kmk zao...ivii yanatuonaje
@ayubu_madenge Walitudanganyaga wakatupa shanga na vioo ..tukawapa almasi ..dhahabu...sasa ngoja tuwaoneshe na sisi tunajua sayansi kmk...ukiangalia kwa makini io unga podaa hahhaa ya jonson za watoto