@RadioCitizenFM Mfalme JK Hujambo? Naskiza nikiwa karatina university alafu salimia my mum Margaret Chelelgo akiwa pale kimose near Emining Mogotio,nampenda sana #GoodEveningKenya π€π§,,
@RadioCitizenFM Mfalme JK Hujambo? Naskiza nikiwa karatina university alafu salimia my mum Margaret Chelelgo akiwa pale kimose near Emining Mogotio,nampenda sana #GoodEveningKenya π€π§
Mfalme JK Hujambo? Naskiza nikiwa karatina university alafu salimia my mum Margaret Chelelgo akiwa pale kimose near Emining Mogotio,nampenda sana #GoodEveningKenya π€π§
TBT edition nikiwa Karatina university alafu MikaAluda, EzekielElkana, GideonOcharo na my mum Margaret Chelelgo akiwa kimose near Emining Mogotio waingie ndani ya #DriveOnReloaded π§
@RadioCitizenFM@sellyamutabi@abdimunai Awamu ni ya taratibu nikiwa Karatina university, naliwaza MikaAluda, EzekielElkana, GideonOcharo, BaloziOmuse Leonard, FordKimungui na watu wa kimose near Emining Mogotoo, wote nawatakia jioni njema ni Deno Pogba Kipkazi Shabiki shakiki #DriveOnReloaded .
Awamu ni ya taratibu nikiwa Karatina university, naliwaza MikaAluda, EzekielElkana, GideonOcharo, BaloziOmuse Leonard, FordKimungui na watu wa kimose near Emining Mogotoo, wote nawatakia jioni njema ni Deno Pogba Kipkazi Shabiki shakiki #DriveOnReloaded .
@RadioCitizenFM Mfalme JK siku hizi kwanza ni lazima umpeleke kwa hoteli akule nyama kisha vitu kama Yoghurt πalafu mbinu ngine ni kua tunatumia uongo kwa uwingi,aty mimi ata ni kdf na hakuna mtu atakuchezea anaingia box,baadae akijua wewe ni mkulima already ameingia boxπ #GoodEveningKenya .,
@RadioCitizenFM Mfalme JK siku hizi kwanza ni lazima umpeleke kwa hoteli akule nyama kisha vitu kama Yoghurt πalafu mbinu ngine ni kua tunatumia uongo kwa uwingi,aty mimi ata ni kdf na hakuna mtu atakuchezea anaingia box,baadae akijua wewe ni mkulima already ameingia boxπ #GoodEveningKenya .
Mfalme JK naskiza nikiwa kimose near Emining Mogotio alafu Stanley Tanui anasema 20 years ago akiwa mdogo alikua anakuskiza na bado hadi wa leo anakusikia πkwani huzeeki #GoodEveningKenya .
Mfalme JK naskiza nikiwa kimose near Emining Mogotio alafu Stanley Tanui anasema 20 years ago akiwa mdogo alikua anakuskiza na bado hadi wa leo anakusikia πkwani huzeeki #GoodEveningKenya .
@RadioCitizenFM Jk kuna jamaa anaitwa StanleyTanui alinitoa kwa shimo siku moja baada ya kuingia hoteli nikakula baada ya kumaliza kujaribu kutoa pesa nilipe kumbe nilikua nimepoteza pesa,Stanley akaniokolea,kama si yeye sidhani kama ningekua na nyinyi saiπ kimose inaskiza #GoodEveningKenya
Jk kuna jamaa anaitwa StanleyTanui alinitoa kwa shimo siku moja baada ya kuingia hoteli nikakula baada ya kumaliza kujaribu kutoa pesa nilipe kumbe nilikua nimepoteza pesa,Stanley akaniokolea,kama si yeye sidhani kama ningekua na nyinyi saiπ kimose inaskiza #GoodEveningKenya