Amani ya moyo ina thamani kuliko kukusanya pesa bila mwisho jali furaha na thamini uwepo wako pesa ni chombo cha kuboresha maisha, si lengo la mwisho la maisha, Ukifa na akaunti imejaa lakini hukuwahi kuishi kwa amani, hizo pesa zitabaki duniani.
Mtu anafunga safari kutoka Dar hadi Dodoma kwa ajili ya marathon pekee. Nauli lakimoja+ bado ada ya ushiriki na hoteli.
Lakini mtu huyo huyo familia yake ikiwekwa kwenye camera sasa hivi anaweza akawakimbia. All this just to chase a spotlight.
Asilimia 99 ya wanawake wa kitanzania wanaamini kwamba katika mahusiano mwanaume ndo anapaswa kufanya kila kitu ili kumfurahisha, Yeye akiwa amechill na kupokea tu mazagazaga bila kuchangia jitihada zozote, Kwasababu tu yeye ni mwanamke. Mungu niepushie.
@444holywitch Story nyingi za hivi vitabu zimetengezwa purposely kuwa manipulate watu, hadithi hizo ziliandikwa ili kuhalalisha mamlaka au kuathiri namna watu wanavyofikiri.
@ayubu_madenge Ikiwa elimu haifundishi ujuzi unaohitajik watu wanaweza kuhoji mfumo huo, Watu hawasemi elimu haina thamani kwa sabab wanachukia maarifa. Wanasema hivy kw sabab wanatafuta maisha bor, na wameona mara nying kuwa elimu rasmi pek yak haiwahakikishii ajira, kipato, au maisha mazur
@McinikaWaLamar Tuko kwenye ATTENTION ECONOMY sex , mapenzi na udaku huko ndiyo watu wengi wamewekeza akili zao kwhy kutumia mvuto wa kimapenzi au wa mwili ni kuvutia umakini wa watu. Lengo si kwamba kalio linauza T-shirt moja kwa moja, bali linavuta macho ya mtazamaji
Wanafunzi ambao wanajiandaa kwenda kujiunga na Vyuo Vikuu wanasisitizwa kuchagua kozi ambazo zitawawezesha kujiajiri wakirudi mtaani, ni jambo zuri na la kupongezwa.
Lakini ni vizuri kama wakitutajia hizo kozi ambazo hazihitaji โajiraโ ya serikali ili ndugu zetu wakasome.
Hakuna kinachotabiriwa ila kila kitu kimepangwa.
Biblia na Quran havijatabiri kitu ila vimeelezea vitu vitakavyotokea.
Katuni ya Simpsons haijawahi kutabiri kitu ila huelezea matukio.
Time travel is real. Multiverse is real.
Hivi unajua kwanini watu wanabeti?