@kalage_jr Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume na watoto
Mungu ibariki, Tanzania na watu wake
Ibariki Tanzania, ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania
@nyuki_malkia Mbona Mombasa, wameishi na wanaishi lakini ni mji wene viwanda, biashara, kwa Kenya..Sema tz viongozi waliopigania uhuru waliwanyima fursa za kielimu, wakapeana kimakanisa..Yaani ili ukasome lazima ubadrishe dini na jina ndio usome uwe mwalimu au doctor...babu yangu alifanya