@WillisRaburu@Hot_96Kenya Anawaga na umama, ndio maana hizo nguo zimemtosha vizuri hivyo.. Ni kitu amezoea, asituchoche oh tiktok sijui kuenjoy akothee... @BahatiKenya unawaga na umama msee, mtoto wa Diana... 😏😏😏
Murkomen: Viongozi walichaguliwa kusulihisha shida za Wakenya, tuache uongo ya kuambia raia ya kuwa tutashughulikia shida hizo kupitia #BBI. Tulipewa pesa za kuleta maendeleo...
#BBIInMeru
@citizentvkenya@WillisRaburu Ni man Deroh nko locked nikiwa bangu nabig up comrades wote wa kabete poly na student leaders wote wakiongozwa na Josee https://t.co/iKQtyTRXGR mamu wamee angoteke pia.