Kumbe hii Nairobi ukiamua kuweka madegree zako chini unaweza pata pesa,leo nilienda kuona beshte yangu hapo CBD,anauza viatu,he was busy na watu wa delivery hawakuwa ,so I decided to make the deliveries,the longest I went ni kitu 300 metres na each package ilikuwa inalipwa 200...