Hiyo habari ya maza wao kupata stroke, waliposti video mama yao anacheza mziki ili ku-prove hajapata stroke ili nionekane napewa habari za uwongo na kuna walioamini kweli nilitunga yule maza kupata stroke, leo nimeacha umbea wana confirm habari ilikuwa ya kweli. Pyeeeee.
Mpaka sababu ya ugomvi niliwaambia Watanzania, tena ni ya aibu ndo maana 2 years muhusika bado anashindwa kuisema hadharani.
Hey @NMBTanzania , what does it take for someone passionate about Marketing & PR to secure an internship or job opportunity with your team? I’m ready to learn, grow, and add value. 🙏
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
@1960Remija Nimecheka mnooo nilivoona kile kikao nikakumbuka enzi zile… tumetoka huko miaka 5 nyuma wao wanaibuka leo… hawataki kukubali ukweli mgumu kua Mpira hautaki Chupli, mambo ya kupeleka watu Dubai ya kishamba pia!!! Mbunge ipigwe kwenye mita 100 za kwa Mkapa Live kila mtu anaona.
Mapema kabisa asubuhi njoo ujipatie spares za gari lako, ukipenda ufanyiwe matengenezo na fundi waliobobea
Aina zote zipo
-Suzuku
-Toyota
-Nissan
-Mazda
-Subaru
Agiza popote hapa Dar na mkoani itafika.
Piga simu/WhatsApp me👇
0719542184 / 0652489443
Karibuni sana ILALA