@MalemboLE Hi , natumaini upo salàma. Shetan ni malaika walio muasi Mungu. Mawakala wa shetan ni ni viumbe/watu wanaotumika na shetan kushawishi watu wamuasi Mungu, kuendeleza uasi.
@MalemboLE Shalom kaka, asante sana Kwa kuwa na utamaduni wa kutushirikisha masuala mbalimbali ya kimaisha hasa kilimo na ufugaji. Ila hapa kaka unatutamanisha wakat tumbo linahisi njaa.
Hongera Sana @SuluhuSamia , @ummymwalimu Kwa kuweka hivi vipau mbele . Haya ni mambo ambayo inabidi yafanyiwe Kaz maana siku za usoni athar zinaweza kuonekana. Asante sana kwa kuona hili na MUNGU awabariki sana.
@k_mjege Tuna ng'ombe million 37, maziwa tulinayoingiza nchini ni lita million 11, sis tunauza nje lita laki 2 na nusu hivi tena tunauza Sana Yemen. Kiwango Cha Uzalishaji wa maziwa hakiendan kabisa na idad ya mifugo. Hapa shida kubwa ni elimu kwa wafugaji hamna.
@k_mjege@ManenoIzaak Ni kweli jitihada zinafanyika ila bado hatujatumia vizur wanyama wetu, ardhi yetu. Kwenye ufugaji Kuna hitajika Sana mageuz ambayo yatawezesha wafugaji kufuga kisasa. Mtu awe na ng'ombe wawili wa maziwa ambao Kwa siku wanazalisha zaid ya lita 30 Kwa siku. Elimu ,elimu bado
@k_mjege@ManenoIzaak Hi, ni kweli kabisa . Mfano, tuna ng'ombe million 37 lakin ukiangalia uzalishaji wa maziwa hatuzidi bilion 3, nyama tunazalisha tan chache. Wizara ikijipanga vizur, tukatumia rasilimali za wanyama Kwa kweli tunakuwa wazalishaj wakubwa wa maziwa, nyama na ngozi
Maisha yetu yanahitaji fadhila ya usikivu ,ni kupitia kusikiliza sauti za wengine , kusikiliza maandiko ya wengine,nasi ndipo tunajipatia maarifa ,hekima na busara. Hatuwezi kujitenga tusisikilize wengine na juu ya yote tumsikilize Mungu.
Sekta ya kilimo hakika bado inasalia sekta muhimu ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu. Serikali iendelee kuwekeza Kwa nguvu zaidi
Deusdedith
0754465430
@HusseinBashe
KILIMO MKOANI DODOMA..
Mkoa wa Dodoma ni eneo ambalo lina mvua chache , hivyo mazao yanayolimwa sana ni yale yasiyo hitaji maji mengi na yenye kuvumilia ukame. Kama vile mtama, alizet na zabibu.
Kwenye eneo la umwagiliaji mazao yanayoweza kustawi ni mahindi, maharage, nyanya, Vitunguu, mpunga. Hakika hii ni fursa kubwa Kwa wakulima..
Baadhi ya maeneo mazur ya umwagiliaji ni Lumuma, kitati, Bahi, mnemia, hombolo, tubugwe juu, mseta bonden ..