@PKishamba iv mbona siku izi kuna mzaa mzaa wa safari za ndege,, aise kitatokea kitu ambacho kitakua kibaya zaidi kuwahi kutokea Tanzania ndo wataacha mzaa mzaaa wa safari izo
@PKishamba@yangasc1935@RiversUnitedFC@MsigwaGerson wahuni ni wengi, kipindi wanashauli umeme uwashe kwa kutumia generator unafikir wahuni wakikua wanataka wawe wanapiga wapi kama sio kwenye mafuta,,, aya na ya generator yamewashinda, chubguza vizuri kuna mkono wa mtu apo