@PlanetFutbal Ushaambiwa viongoz wana matatizo ya afya ya akili ila simba daah,juz tu mmeambiana wenyewe kwa wenyewe kuwa mnashida kiafya halaf eti Rais wa vilabu kaongea kidogo tu mnarusharusha miguuπ€£π€£π€£π€£
Yani tangu tuachane na sheria ngoi kila jezi tunazotoa ni hovyo yani ni vichekesho mtupu cjui viongoz hawalioni hilo daah mrudisheni sheria ngoi jamani tutaweka wapi sura zetuπ
π¨ #BREAKING: CCM's Despicable Fake News Campaign β Spreading Lies About Captain Tesha's Death to Silence Dissent! π¨
Fellow Tanzanians, wake up! The ruling party CCM has stooped to a new low by publishing FAKE NEWS on Facebook pages claiming that brave Captain K. Tesha β the courageous military officer who recently spoke out against national threats, corruption, and political interference in our armed forces β is DEAD! This is a blatant assassination of character, designed to intimidate patriots and crush any voice daring to expose the rot in our leadership.
ZAMBARAU mlipoelezwa kwamba mgombea wenu asifike Tume ya Uchaguzi kurejesha fomu mlidhani MaCCM yanachekesha? Mlitakiwa kumshtua MPINA asipige spana, huo ni mradi wa CCM. MPINA akaanza kumshughulikia MAZA.. Ooh! Mmefyatuliwa.. Hii sasa ndiyo hali ambayo CHADEMA tumekutana nayo nyakati zote katika chaguzi. Haipendezi kupitishwa katika moto, lakini nafikiri mkipitishwa mtaelewa kwanini ni muhimu kuunganisha nguvu hadharani kupambana na mifumo kandamizi.. Tunapaswa kuwa na ulingo sawa kabla na wakati wa uchaguzi kwa vyama vyote vya siasa. Mchongo ulikuwa ni #NoReformsNoElection siyo kushiriki uchaguzi ambao mnakwenda kuhalalisha ushindi wa kishindo wa mgombea wa CCM..
NB; Yule Afande alisema mkijifanya mahayawani, atawafundisha kutii sheria bila shuruti. Atawanyonya mavi..
Sasa wewe inakuhusu nini halafu ww umejuaje? Acheni wivu yani mtu akifanikiwa basi maneno kibaoooo mnaanza kuchunguza eti kafanikiwa vipi daah wabongo bhana.
"Kama nyumba yako haina chumba ambacho hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia zaidi yako, una safari ndefu sana ya mafanikio. Lazima uwe na chumba ambacho mtu yeyote haruhusiwi kuingia." β Chief Godlove
@fumbokhanJr Kipindi kile watu waliweka ml.300 na range rover ili apigane na twaha kiduku akakataa,hivo thamani inazidi kushuka,atakuja kuandaliwa pambano la elf5 na bado atazikumbuka sn zle ml.300π€£π€£π€£π€£
@mrembo_og Hata kadi ya uanachama wa Yanga huna halaf unajitutumua usitujumuishe na sisi pambana wewe km wewe, daima mbele nyuma mwiko Yanga bingwaπππ