Nina swali dogo tu
1: Hv Trafik police barabaran wapo kufind options watu wasikosee na kusababisha folen na ajali zisizo za lazima?
2: Au wapo kutengeneza mazingira watu wavunje sheria
3: wapo kusubiri driver akosee ili afanye kaz Yake?
Naomba msaada
Wakati wa corona
Tulikuwa na Barakoa
Santaiza maji ya kunawa alaf three meters kukaa Ila maisha yaliendelea
aise mim wa kuangalia TBC ΓΌkweli na uhakika na bila kuwa na uhakika wa kesho
Sikia Bora Corona
Tunapotokea tulikula Matembele na Wazazi wakatuambia tukomae nayo kila siku maana yanaongeza damu.
Tunapotokea maisha ya draft ukiumwa dawa ni kunywa maji mengi, majani ya Mpera na muarobaini tiba mbadala.
Tulipotoka msosi kama Ukanda wa Gaza, asiyekuwepo na lake halipo
Happy Birthday my only and one Mirah Gβ€οΈ
Mke wangu mpendwa, nakutakia maisha marefu yenye furaha na baraka nyingi. You are my happiness, my queen, and the best gift God gave me ππ.
Nakupenda leo, kesho na forever and always β€οΈπ₯π
Mafanikio ya vijana wa Dar
1:Bed sofa
2:Showcase za 100k
3:TV Inch 32
4:Friji 10 Itrs
5:Meza ya gesi
6:Taa ya rangi rangi
Akiwa navyo hivi hashindwi kumuambia Elon Musk aweke namba aokotee
Mungu hakupi kikombe usichoweza kukibeba, mara zote anaporuhusu tupitie magumu flani, huwa anajua tunaweza kutoka, na tukitoka tutakuwa watu bora zaidi ya mwanzo.
Stay strong
,Mungu yupo kazini.
Muda mwingine uandae Moyo na Akili yako kuwa tayari kuvunjwa moyo na watu. maana Shetani nae hutumia watu. Na baadhi ya watu wanaotumika, ni hawa hawa waliopo karibu yetu.
Ukimkabidhi Mungu mipango yako, hutakiwi kuwa na wasi wasi tena.
Sometimes anaweza kukufanya ukose unachohisi unakihitaji, ila kamwe hawezi kukunyima unachostahili
> Kuna mitiani Mungu anaweza kuiruhusu ipite kwako ila lengo sio kukumaliza, ila nikukuamsha akili ili ukuwe zaidi kwenye icho unachokifanya.
> Sio kila tatizo linalokufanya ujione umebaki mwenyewe limekuja kukuangamiza, mengine yanakuja kukuongezea nguvu uone Mungu pekee anatosha na anaweza kukuvusha hata ukibakia peke yako.
"Usiwakadirie sana Watu, usidharau Watu, usichukulie poa Watu, wenzako wanapambana kubadili historia ya maisha yao na kushinda vita ambazo Wazazi wao hawakuzishinda, wao ndio wana dhamana ya kubadili historia ya familia zao, kama huwezi kuwasaidia tafadhali usinunue silaha ili upigane nao*