Wewe umeomba kuombewa ? Wanasema haufiki July ukiwa hapo. Wana mgombea urais 2030 na PM. Wanasema timu yote iliyokuwa kule kwa kina Ronaldino lazima ipanguliwe. Wanasema kwanza hauna hela na hujui deal!! uwezo wako mkubwa kifedha ni kumchangia mtu laki moja ya msiba au send off 😂😂😂Bado siko nyumbani, msalimie sana,Madilu na Mkwe. Kesheni Mkiomba. Usiogope ni ndoto tu.
"changieni chama nisiwakute nilipowaacha, tutagombana"
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akimwambia Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wakili Deogratius Mahinyila leo mahakamani.
Lissu ameupongeza uongozi wa chama hicho kwa kuendelea kufanya kazi bila ya uwepo wake huku akiwataka kuongeza juhudi bila kumsubiri yeye atoke gerezani.
Ndugu yangu @HecheJohn Hizi takataka zinazokushambulia Kila uchwao zipuuze Wala usihangaike nazo, Wewe endelea kushikilia hapo uliposhika Ili milio iwe mikubwa zaidi, Hizo ni Spika tu, Mwenye Spika yupo, Ongeza speed Ili Nyani wateme Bungo vizuri, Uliposhikilia ni sehemu sahihi!