Taarifa, maarifa na ushauri kuhusu dhana za mafanikio ya mteja kwenye shughuli za ujasiriamali na biashara ndogondogo.
Fuata pia Instagram/Facebook: @dijimali
Uanze wapi na mkakati wa kuboresha biashara yako? Anza na DijiMali rasilimali dijitali. 🚀
Chanzo cha taarifa na maarifa kuhusu Mafanikio ya Mteja na kuboresha utoaji huduma.
👇🏾 Anza hapa:
https://t.co/gTQLi6pm8x
#anzahapa#dijimali#rasilimalidijitali
Pengo kubwa zaidi liko wapi?
Maswali 8 → mwelekeo → hatua moja ya kwanza.
Tazama zaidi na pakua nakala ya PDF 🔗https://t.co/dLt105AOhj
Wasiliana WhatsApp ▶️ https://t.co/RLGS7PjjHW au Instagram @dijimali kama una maswali
#AnzaHapa#MafanikioyaMteja#CustomerSuccess
Jiunge kikundi cha WhatsApp leo!
https://t.co/lbmtg2hWA7
Mafunzo yataanza Jumatatu tar 12 Januari 2026.
Mshirikishe mwenzio, mtumie kiungo cha WhatsApp.👆🏾 #dijimali#siku7
Okoa muda kwa kujipa malengo yaliyo wazi, rahisi kuelewa na kutathmini, na yenye muda maalum wa kuyafanyia kazi.
Unapojua unakokwenda utafanya mambo kwa umakini zaidi na ndani ya wakati. #malengo#okoafasta#dijimali#rasilimalidijitali
Tunafunga ukurasa wa mwaka mmoja na kufungua ukurasa wa mwaka mwingine!
Chukua mafunzo ya mwaka uliopita kuanza mwaka mpya na ari mpya, na mtazamo bora zaidi. Usipunguze kasi, chukua fursa kuendelea kujifunza, kukua, na kukaribia malengo yako.
Ahsante 2025. Karibu 2026!
Kila mjasiriamali anakutana na mashaka — kuhusu bidhaa, wateja, au hatua inayofuata.
Lakini kinachotofautisha wanaosonga mbele na wanaokwama ni kujiamini.
Kujiamini kunakupa ujasiri wa kujaribu, kufanya maamuzi magumu, na kusimama tena hata mambo yakisuasua.
#msukumo#dijimali
Siku 7 za Kujaza Kibaba inaanza Jumatatu! 📲 Mafunzo mafupi kupitia WhatsApp kuh dhana za Mafanikio ya Mteja (Customer Success).
✔️ Boresha uendeshaji wa biashara yako
✔️ Kuwa karibu zaidi na wateja
✔️ Kuza biashara 📈
Scan QR code au https://t.co/3HWwpxQDyV
#siku7#dijimali
Kama mjasiriamali, si lazima uwe mtaalamu wa kila kitu. Lakini ukiwa na ujuzi wa msingi wa mambo machache unaweza kuokoa gharama na muda. #okoafasta#dijimali#rasilimalidijitali
Je, unahitaji rasilimali dijitali zilizo tayari kutumia au kwa agizo maalum kwa ajili ya biashara yako? Tembelea https://t.co/IwbpfuqUNx leo! 💻 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi - acha comment au tuma DM! #biashara#rasilimalidijitali#dijimali
Unajuaje kama biashara inaendelea au inasuasua?
Fuatilia maendeleo kwa kukusanya data 📊. Rekodi mapato, gharama, na idadi ya wateja kila siku au wiki kisha linganisha takwimu. Hauhitaji mfumo mkubwa anza na karatasi na kalamu!
#biashara#maendeleo#dijimali#rasilimalidjitali
Mteja wako anasemaje?🗣️ Kusikiliza sauti ya mteja ni hatua ya kwanza kwenye kutoa huduma bora na kujenga mahusiano ya kudumu. Soma kuhusu ukusanyaji wa maoni kwenye tovuti yetu https://t.co/IwbpfuqUNx leo!
#biashara#sautiyamteja#mafanikioyamteja#dijimali#rasilimalidijitali
Kila mmoja wetu ana njia yake maishani — usikate tamaa na usilinganishe na wengine walipo kwani kasi yako ni tofauti. Safari ni yako, na kila hatua ina somo na umuhimu kwenye kukujenga.
#SafariYako#motisha#msukumo#dijimali#rasilimalidijitali
Umeshajaribu zoezi fupi la kukusanya maoni ya wateja wako? Uliza swali moja tu:
Kitu gani ungebadilisha kuboresha huduma hii kwako? Fuata DijiMali Instagram na andika neno "1ZOEZI" kwenye comments kupata mfano wa nyaraka za kukusaidia na zoezi hili. 📩 #HudumaBora#dijimali
Maoni ya wateja yanaweza kubadili mwelekeo wa biashara. Waulize wateja swali moja tu! ���� Maoni yao yatasaidia kuboresha huduma na kujenga mahusiano. Fuata DijiMali Instagram, andika neno "1ZOEZI" kwenye comments! 📩 #HudumaBora #MafanikioYaMteja #Biashara #dijimali
🔍Chunguza washindani wako!
Sio tu kwa ajili ya kushindana bali kujifunza! Angalia wanachofanya vizuri, penye mapungufu, na jinsi unavyoweza kujitofautisha. Unatumia njia gani kufuatilia washindani wako? Tuachie maoni !👇🏾#Biashara#ushindani#dijimalishauri#dijimali
Wanasema kazi na dawa! Kujituma kazini ni muhimu, lakini kupumzika pia ni sehemu ya mafanikio. Tunapofanya kazi kwa bidii tunapaswa kupumzika, kujiburudisha & kujipa nguvu mpya. 💆🏽♂️☕
Unapokuwa hauko ofisini mara nyingi unakuwa wapi/unafanya nini?
#KaziNaDawa#dijimali