@moodewji Good, sema nin mkuu nahisi kama baiki yako ina kainjini bana yaan serious nginja nginja ileee kibish gia 6 tu bila ka engine hata ka ndaaa kwa ndaani!.
@moodewji@GUAlumni@Georgetown Umenikumbusha Long T ,huyo teacher sema kachange alikuwa anatembea na kiboko kwapani halafu umempamba tu hafundishi somo lolote zaidi alikuwa anapenda kuchapa namba asubuhi , Fagio na kidumu cha maji hicho ndio kitengo chake. Ila nin ujue @moodewji kuna jamb nmekwama apa la muhmu
Tunamshkuru Mh. Magufuli kwa kuridhia kubadili jina rasmi la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Mkapa. Ahsante kwa wote tulivyo unganisha nguvu kufanikisha hilo. Kwa hakika tutaendelea kumuenzi na kuiletea heshima Tanzania kila mara tutakapo tumia Uwanja.