Watu wa biashara hukua sharp sana Sasa huyu msichana amenipata hapa, akanisalimia na furaha sana, talm about, “Umepotea sana!” Na mimi naanza kufikiria nilimwona wapi, alafu akatoa kalatasi iko Queen Cakes kumbe anauza! Imenibidi nichukue mbili na hata sikulangi ngano. 🤣🤣
I'm the youngest employee in this organisation. These older women in here call me "baby boy" lmao. Mwingine ameniambia twende kwake anipikie because I'm like a son to her.
In my entire life, sijaipata mdem anajua kuride diek kama our coastal ladies. Once she tells you, "wacha nikuje juu", bro that's it!! Hapa ndio utajua mbona Luo men wakienda Coast kurudi Siaya ni time wamededi.
Second year kama si Bandit,CIA Antoh na Kiptoo walahi ningewacha Shule depression na msoto ilinipiga nikakonda kama miwa za Western hao majamaa before year ends lazima niwaweke 500 kila mtu waliniokolea vibaya sana during my tough times
Hii maisha inahitaji kitu inaitwa wits to survive yaani in short inahitaji cleverness, juu sasa nakumbuka nikiwa highschool ilikuwanga lazima nibet kila sato bwana ndio nipate za pocket money alafu hio time kukula bet ilikuwanga rahisi hio time sportpesa pekee wakiwa kwa market sasa nilikuwanga nimefriend mwalimu wetu wa Kiswahili, sasa alikuwanga anakuja shule Sato alafu najifanya ati nimeenda kuconsult hii maneno ya kisengere nyuma and other short stories kumbe hio Saa nimeenda kuchambua bets and we use to win big alafu tulikuwa tunashare 50/50 hio profit, na hivyo ndio sikuwa nasuffer story za pocket money na fees bwana, she is still my good friend upto today hata kuna msichana yake anataka nioe navenye nimeona ni fine stuff😂
Bwana sasa kunakuwanga na hawa watu wanalalanga wakiwa wamefunga macho moja and that was my first room mate Leon huko campus,sasa kuna siku nimetoka ulevi zangu zimeshika bwana, kufika hivi hao napata kumbe hio niggahs ililala kama imekaa kwa kiti na imefunga macho moja mamae sijawahipiga nduru hivyo bwana alikuwa na aura ya shetani Mimi nikasema baas huyu ni devil worshipper walai juu Tangu nizaliwe sijawahiona mtu analala hivo, sasa my theory was that hio ni body ameacha hapo sasa soul yake imeenda kuroam huko deep down in the Indian ocean, kumbe niggahs alikuwa amelala tu bwana na alikuwa na hii condition wazungu wanaita nocturnal lagophthalmos 😂
Men, ukipenya through na upate your bros at home are still struggling, kama hawataki kujikakamua wewe wachana nao.
Trying to lift mature men na hawako idhaa will drain and drag you behind a big range
Opening a Business for your wife and Depositing money in Sportpesa to wekea arsenal kichwa, is the basically same thing. Ni either utapoteza pesa ama upoteze bibi. Ndio mimi nasemanga Bibi hufai kufungulia biashara imepita capital ya 10 sausand. These people dont even want the business in the first place,they just want to look busy because they think being busy is admirable. Wiki mbili unaskianga amekuambia “aki hii job ata inanibore”. They are there for aesthetics. It is a waste of money.
Na ile utafungua Biashara ishike,hii pia inakua ni disaster,sababu huwa anamea pembe. Anaanza madharao. Na ukicheza hapa unaweza poteza bibi,juu anaanza kuona hamtoshani,anaona ukiwa mjinga. Sasa hapa Inatakanga ukiona madharao tu kidogo namna hii unafanya ile CIA wanaita Covert Action. Covert action ni ile CIA wanasponsor Boko haram kule nigeria ndio US military ipate government contract kutoka nigerian goverment,sijui kama mnanipata?
Unangoja bibi aweke stock unatuma goons,wanafanya asset Relocation,wanabeba kila kitu mpaka bulb. Kwanzia hapo ndoa huwa inarudi sambamba,umekata pembe. Bwana some things you will not learn in unifasti
Millennials ni kama kuna mahali walienda wote wakafunzwa design ya kuwa watiaji. Kila siku lazima niitwe na boss kwa ofisi sijui wamesema nimefanya makosa tu za kifala. Ya leo wanacomplain nimekunywa chai vikombe tatu na kuna colleagues hawajakunywa.