Sidhani kama ni usaliti ila kwa usajili wa Simba wa mwaka huu acha nishabikie Yanga kwa mechi kadhaa nikipima upepo๐๐๐ mbinu ni ile ile ilofanya tushinde kombe la dunia na spain ndio naitumia kwenye NBC ๐๐๐๐
Usiniulize ninaishabikia timu gani kwenye fainali. Nitaanza na Spain, ikianza kuyumba nahamia Argentina. Mimi si msaliti, ni mwekezaji wa ushindi! ๐ ๐๐ช๐ธโก๏ธ๐ฆ๐ท Kombe lazima liwe upande wangu, kwa namna yoyote ile! ๐