Imenichukua siku mbili kuwaza juu ya tuzo za #trace na kusikiliza kila maoni ya wapenzi wa music na industry kiujumla pamoja na vile vi clip tudogo za hapa na pale nimegundua
MUANDAAJI ALIFANIKIWA ASILIMIA 100 KWENYE BLUE CARPET, INTERVIEW NA ZILE PICHA ZA MNATO @Wakazi