Tatizo hili la corona virus nijaga kubwa sana na shida ya kutafuta watu wale ambao ni wahaga na bado wpo ndani ya jamii na huku hatujui kama wanamaabkizo au no vizuri serikar ikachukua jukumu la kupima watanzania wote hasa wale waliopo kwenye majiji makuu
Bunge la Tanzania limesitisha safari zote za kikazi nje ya nchi hadi itakapoamuliwa vinginevyo. Taarifa ya Spika wa Bunge imeeleza kuwa, pia safari za matibabu nje ya nchi (kwa wanaogharamiwa na Bunge) hasa kwenye nchi zenye wagonjwa wa COVID-19 zitasitishwa kwa muda.
Since poverty is deeper in #Tanzania rural areas, the amount needed there is Tsh3,650, far more than the Tsh1,726 per adult equivalent per month for poor households in urban areas: https://t.co/05cQy7wIzc
Mwaka 2012 nilipata bahati ya kufahamiana na Zakia kupitia wodi ya saratani ya watoto Muhimbili, alikua mpole na mwenye ndoto kubwa kwenye maisha. Alifariki muda mfupi baada ya kukutana naye. (1)
Waziri wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuna wakati aliandika barua ya kujiuzulu lakini alinyang’anywa na ikachanwa.>>https://t.co/3CoqiHzEL1