𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗦𝗛𝗜
Wakati Dunia iko kasi sana kuhakikisha inampambania mtoto wakike ajiingize katika nyanja mbali mbali za kimichezo hasa mpira wa miguu, ngumi, riadha n.k ambapo mwisho wa siku atakuwa ni mkaa uchi mbele ya dunia na kukosa haya
Wewe kama Muislam hakikisha binti
@Dogonyani99 Naam hakika umesema kweli ewe ndugu mkareem na watu wasiposoma wataendelea kudanganywa na hawa waganga wa kienyej waliojificha ktk uislaamu
ETI HIVI SASA WATAKUIJIA MALAIKA WAWILI
USIWAOGOPE WALA USIHUZUNIKE, KWANI HAO NI VIUMBE TU MIONGONI MWA VIUMBE WA ALLAH!
IVI KWELI asimuogope malaika ambaye hajawah kumuona, na pengine mtu amekufa ilhali hayupo radhi na mola wake!
Huku nikumdanganya maiti
Watu wa bid'a waongo
ṢĀLIḤ AL-FAWZĀN:
Ewe mwanamke Muislamu! Shikamana na mafundisho ya dini yako. Usikubali kudanganywa na mitazamo ya watu wapotoshaji, ambao lengo lao ni kukunyima heshima na hadhi uliyopewa na Uislamu, kwani hakuna kingine chenye uwezo wa kukupa heshima hiyo isipokuwa Uislamu.