AFYA ni mtaji,
MUDA ni utajiri
na MAARIFA ni nguvu.
Tukipata nafasi ya kuamka, tuna sababu ya kushukuru na kuendelea kupambana.
Mungu atupe siku yenye baraka na mafanikio.π
"Kila siku unayoamka ni nafasi mpya ya kufanya jambo ambalo jana hukuweza kulifanya. Usikubali makosa ya jana yaibe matumaini ya leo. Jipange, pambana na songa mbele". βοΈ
Mungu mbele Juhudi Mkononi