🌿 Hadithi ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه)
Sahih Muslim, Hadithi Na. 2963
“Mtume wa Allaah ﷺ alisema:
‘Tazameni wale walio chini yenu (katika hali ya maisha), wala msiwatazame wale walio juu yenu, kwani kufanya hivyo ni njia bora zaidi ya kutodharau neema za Allaah alizowapa’”
Society teaches us to chase this world, but remember our religion teaches us to chase Allah. For what is with Him is eternal, and for what is with this world is temporary.
Unaacha pigia kelele mchungaji mwenye kuamini katika dini unayoamini wewe kulazimisha mashoga na wasagaji wahesimiwe na kuonewa huruma..
Unapigia kelele Dini usiyo iamini wala kua na elimu nayo kuruhusu msichana kuolewa pindi anapovunja ungo..
Tatizo Uislam ama??
(108:3)
MWENYE AKILI
Sufyan bin ‘Uyaynah alisema:
“Mwenye akili si yule anayejua mema na maovu tu, bali ni yule anayejua mema na kuyafuata, na anayejua maovu na kuyaepuka.”
[Al-‘Aql wa Faḍluhu, Ibn Abi Dunyā (sehemu ya 56), Maktabatul Qur'an]
Ibn al-Qayyim رَحِمَهُ اللہ said
“Ikhlas (sincerity) is that you do not seek for your deeds any witness other than Allah, nor any rewarder besides Him.”
Madārij al-Sālikīn (2/92)