Nikikutana na demu ana tattoo lazima nihakikishe namuangalia pia miguuni nijue tu kama kajispecialize au la! YAANI NIJUE TU!! ๐ Na siwezi kuacha hii tabia!!๐ซด
Kucheza michezo ya kupeana pesa ni dalili ya mtu kushindwa kujisimamia na kujiongoza katika suala zima la nidhamu ya fedha!
USIJIENDEKEZE JIFUNZE KUWEKA AKIBA MWENYEWE!!