Sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 190.3 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334.
Sasa tumebakiza TSh. Milioni 9.7 pekee kufikisha TSh. Milioni 200.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Diamond Platnumz ambaye ni star wa muziki kutokea nchini Tanzania wakati yupo kwenye imbeju Master Class ya Zuchu alieleza kuwa kuna mwaka Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alimshauri kuwa asipende kuonyesha mali zake anazomiliki.
Diamond Platnumz alisema kuwa alimjibu Rais Mstafu kuwa alichokisema nikizuri lakini sanaa inahitaji ufeki hata kama umepiga show ya watu mia unatakiwa useme umeingiza watu elfu kumi.
''Nakumbuka kuna mwaka muheshima rais mstaafu Dkt Jakaya nilikutana naye akaniambia mwanangu naomba ujitahidi usiwe unaonyesha onyesha vitu vyako nikamjibu sanaa inahitaji uongo uongo inataka hata kama umepata laki moja useme laki 5 ''Alisema -Diamond Platnumz
Prof Kaijage na wote mliopewa ugaidi leo, sending prayers & strength.
Spending your first night behind bars as state-appointed โterroristsโ is unbelievable!
But hang in there, comrades.
It is well, compatriots.
Mungu ni mwema.๐คฒ
@mangekimambi ๐๐๐ Common Wealth ndo mshakuwa Mag@idi, karibuni.
Maana sio kwa spana hizo ๐ tusubiri tu press ya Girishoni.
Hawa wahuni walidhani janjajanja zitawasaidia, ngoja tuone.
Uzuri sisi watu wa chini hata zikija sanctions hakuna tofauti na maisha yetu ya kila siku. Shida ni kwao!
@HildaNewton21 IFIKE SEHEMU CHAMA CHA CCM KIONE SAMIA NDIYE TATIZO!,SAMIA KAIHARIBU TANZANIA AMBAYO ILIKUWA NURU YA AMANI NA KITOVU CHA UPENDO AFRIKA MASHARIKI NA AFRIKA KWA UJUMLA,LAKINI SASA TUNAJADILIWA KWA MAMBO MABAYA TU HUKO NJE!
ENDELEENI KUSHUPAZA SHINGO,NI SUALA LA MUDA