Senegal just pulled the most technical/reverse psychology AFCON final of all time. This should be studied. And yes, that's exactly how you beat corruption and thieves.
The whole African continent must stand with Senegal and call out Morocco's VAR corruption.
Morocco robbed Tanzania of a penalty challenge on Iddi Nado: no VAR check.
Senegal scored a legitimate goal: no VAR check.
But the moment Brahimi shouts for a foul, VAR is suddenly active.
This isn't inconsistency, it's corruption at it's core.
It’s time for the continent to send a clear message to Motsepe and CAF: end this now. Enough is enough.
Someone is planning to destroy Tanzania currently surrounded by 3 well performing western projects. The target is not President Samia, it is CCM then Tanzania so it will continue past 2030. The ANC knows that's why it has chosen silence. Foreign media mercenaries on steroids sometimes hitting with old and fake footages. The AU demanding constitutional change (ironically the AU sits in a country that is ethnically disintegrating due to civil war with thousands dead and thousands IDP but is not saying a word about it). Wake up Tanzania someone evil miles away is out to take you down.
Kila ufanyapo ngono unaacha kopi yako, ndio maana ndoa hazidumu
Katika dunia hii kila kitu unachokiona kimefungamanishwa na muda, muda ndiyo unaamua kipi kitokee na wakati gani.
Wanasema ukiweza kuuthibiti muda basi unathibiti uzee na kifo, kwa maana muda ndiyo maisha yetu na sisi tumefungwa katika muda.
Kumbuka kukutana kimwili ni tendo la kubadilishana nguvu kati ya mwanamke na mwanamume. Kiasili mwanadamu kaumbwa akiwa na nguvu kuu mbili.
Emotional energy - nguvu za hisia
Reproductive energy - nguvu za uzazi
Emotional energy
Nguvu hizi hutoka kwa mwanamume na kumwingia mwanamke kuanzia wakati wa mahaba na hukamilika wakati wa kuingiliana.
Mwanamume akimwingilia mwanamke huweka nguvu hizi ndani yake nazo hudumu humo.
Mwanamke yeye hupokea na kuzihifadhi nguvu hizi na hivyo kuwa ndani yake kwenye nafsi.
Hapo mwanamke na mwanamume huwa nafsi moja (wameunganisha nafsi zao kutengeneza nafsi moja).
@LuhagaMpina Shida iliyopo ni kuwa tunaishi kwa mazoea na viongozi wanaogopa kufanya mabadiliko ili kulinda maslahi ya wachache. Otherwise structure nzima ya Serikali inatakiwa kubadilishwa ili kupunguza matumizi ya Serikali.
Tulikubaliana Ukipigwa Hakuna Kuhama Chama MBOWE Na WENJE Ni Miongoni Mwa G55 Wataanza Kuhama Akina MREMA Na Wenzake Kisha Watafuatia MBOWE Na WENJE
Hawa Walikua Madalali Wa Siasa Waliigeuza CHADEMA Kama Chanzo Chao Cha Mapato Nasio Kwa Ajili Ya Mageuzi.
TUNDU LISSU Asante.🤝
@PresenterNoah Bodi ya ligi haijatoa kanuni zilizotumika kuhairisha mechi ya awali hivyo basi hadi pale pande zote zitajiridhisha kuwa taratibu na kanuni zilifuatwa ndio mechi ipangwe.