@tonytogolani@venusnyota "Ukiwa unamwamini MUNGU hauwezi kuwa na hofu juu ya uwezo wake.. Jambo kama ni lakwako, na linapaswa kuwa lako litakuwa tu, hata iwe vipi, Mwenyezi MUNGU akitaka liwe lako litakuwa tu, na kama si lako halitakuwa na hata likiwa, halitakuwa na kheri na wewe..." Ahsante sana Kaka.
Hakusoma Nursery alianza darasa la kwanza moja kwa moja, O-level akachaguliwa Kibaha, yeye akaenda Maua Seminary akawa TO. A-level akaenda Pugu akawa TO. UDSM pia akawa Best Student. Martin Chegere ana miaka 39 anafundisha UDSM na amekuwa miongo mwa Maprofesa vijana wachache TZ.
🚨🇦🇷 Lionel Messi when asked how many World Cup goals he can reach: “I am tired now, I’m not thinking about that. I just want to enjoy the win with my teammates”.
Tanzania sio nchi ya Kiislamu… Ni Jamhuri ambayo inaheshimu dini zote kwa kiasi kinachotambulika dunia nzima.
Msitutungie observations mpya ambazo hazikuwepo kiutamaduni wala hazitambuliki Kiserikali.
Habari za asubuhi ?
Naomba Mniungishe ndugu zangu, niungisheni leo nipate kula😐🔥
🏆Nauza Simu, Full Box na used from Dubai ni original na zinakuja na warranty.
🏆Nauza Cover, Protector, Earphones, Earpods , PS , Tablet & iPads.
🏆Nafanya replacements za Vioo & Battery.
📍Nipo Mwanza Mjini
🚚Huduma ya Delivery ipo.
📞Nicheki DM
📞Nicheki +255747151944
BSc - Medical laboratory science
MSc - Molecular medicine with distinction
MSc - International regulatory science
PhD - Pharmaceutical and Biomedical science
Cert - Clinical trial design and management
Cert - Int regulatory science
Beverly Hirsh Frank Fellow
Too many to remember
Ngwear alishawai kuwa namba moja kwenye mtihani wa darasa la7 mkoani kwao, akili nyingi ndio maana alienda shule ya vipaji ‘Mazengo’
Ndugu yangu @japhet_kapinga kasoma ‘Mazengo’ ila alikuwa haka kipaji cha akili msimsifie sana😀😀😀😀
Akioi pia ni kipaji
Waandikie vifaa vya operation hao wamama wote na uwaweke kwenye roster ya leo. Na uwajulishe wote watakaokuwa theatre leo kuwa wale washibe, sitapokea excuse yoyote mpaka procedure zote ziishe.
Haya Wewe Ndugu Msanii Uliyeshiriki Kwenye Kunadi Sera Hope Umefurahi Kuhusu Matokeo Vipi Kuhusu Shabiki Yako Aliyekufa Kwa Kuhoji Kuhusu Ukosefu Wa Ajira,Mfumuko Wa Bei, Ufisadi Wa WaziWazi etc… Huwezi Hata Kutoa Pole Ya Kinafiki??
Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema.
Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.
Endeleeni Kufurahia Sababu Mnachokiwaza Ni Pesa Sio Utu Tena. Watu Wamekufa Tena Wengi Vijana Wadogo Lakini Mnakaza Mafuvu Kama Hakijatokea Kitu Kaeni Mkitambua UBINAFSI NA KIBURI Ni Vikwazo Vikubwa Katika Safari Ya Mafanikio Na Mahusiano Mema. R.I.P To All The Soldiers 🙏🏽
mnajaribu kuwaelimisha as if they have heads
unfollow, then block ...
you don't need them
they definitely don't need you either
your good mental health is important in this moment
stop traumatising yourself