Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
Amnesty International has issued a statement declaring that more than 3,000 people have been kiIIed in Tanzania.
ICC should conduct an investigation, very urgently.
‼️ALERT🚨‼️
#Tanzania Massacre cover up!
There are unconfirmed reports that the @twigacement factory is used to cover up the massacre by disposing of bodies in furnaces
This is Nazi Germany style - evil!
Twiga Cement is a subsidiary of Heidelberg Materials and must immediately ensure that this activity is halted
Cc @GermanyDiplo@germanytz@davidmcallister
#SamiaMustGo #MO29
#BigCityBreakfast@TayanahTibs na @DorahRay Wakijadili kihusu kifo cha mtoto kilichotokea Mkoani Kilimanjaro,tarehe 17 wiki hii baada ya kupigwa na mwalimu.
Maoni yako ni nini kuhusu tukio hii?
#BigCityBreakfast Kodi ya majengo imepanda kutoka, Tsh1,000/= mpaka Tsh1,500 kwa nyumba za kawaida na Tsh7,500 ķutoka Tsh5,000 kwa magorofa. Sikiliza hapo👇 au zaidi kwenye Website yetu ya https://t.co/M9sPePWeUz
Pia, tuma maoni yako inbox kuhusu swali hili
@DorahRay