MZEE ABISHANA NA GAVANA WA BOT AMPA SOMO
✍🏻Governor amefunzwa kwamba politicians are onlv trusted with power by people but wisdom is inborn.
Governor kageuzwa kuwa maembe kabisa
✍🏻Hakuna hata siku moja serikali ikakubali kufanya Kazi na watu wenye akili kama hawa, itashindwa kuwaburuza, serikali huwa inawapa cheo ma mburura na machawa tuu. Huyu mtu anajua anacho ongea na confidence yake inamuelezea vizuri.
✍🏻Sipati picha angeenda yule Tapeli Matai kuwakilisha sekta ya fedha ingekuwaje
Sikiliza mwenyewe