@tazamaMbali Inategemea unanunua ardhi Gani na Kwa lengo lipi 10m unaweza nunua mashamba huku ndichi Kwa 800k-1M Kwa heka ,ukapanda miti ya mbao kama mikaribea baada ya miaka 5 ukauzaa miti huyo 100M-300M ,na ukabakiwa na shamba ambalo nalo limepanda thamani dhaidi ya 10M ulionunulia
Kanuni iliotumika kunyang'anya SENEGAL ubigwa na kumpa MOROCCO ndo Sheria hio hio ndo inatumika Kwa mwanaume ambaye hana pesa na yupo kwenye mahusiano.
Mchezaji wa Newcastle ,William osula aliyefunga goli la ushindi Kwa timu hio dhidi ya Manchester united,ni kijana kutoka den mark ,aliyekulia katika MU Schools of football na akiwa na miaka 11 alishinda tuzo ya MU soccer schools world skills.
Product of man u๐ฅ
@ajirapsrs Mimi ni DOTTO BUTEYE EMANUEL,Kwa heshima na penda kutoa shukurani Kwa serikali na sekretarieti ya ajila Kwa ujumla ,naomba munikumbuke kwenye ajira kada ya afya nipo nafanya majukumu ya serikali mkoa wa geita