Je, Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kweli? Hebu tuambiane ukweli... πΉπΏ
1/Tanzania inajiita nchi ya demokrasia, lakini je, tuna demokrasia ya kweli au ni jina tu?
Tuchambue kwa uhalisia. THREAD π
2/π Watu kutekwa na kupotezwa bado ni tatizo kubwa:
Ben Saanane (2016) alitekwa,
7/Hii bado ni demokrasia au ni uonevu uliohalalishwa?
Watanzania lazima tuamke. Uoga wetu ni nguvu ya mfumo kandamizi.
Tunapochagua kukaa kimya, tunakubali kunyanyaswa.
Leo mama kanisa anaadhimisha dominika ya 33, mwaka B wa kiliturujia katika kanisa, kipindi cha kawaida. Tupo ukingoni mwa mwaka B katika liturjia. Jumapili ijayo tunafunga mwaka B kwa sherehe ya Kristo Mfalme na kuwa tayari kuanza Liturujia ya mwaka C.