mapenzi yanauma! Nyie acheni..yani Bia ndo anaweza akabaki kuwa ndo rafiki wa karibu ila ikiondoka kichwani daah...... New song #zuchu https://t.co/WAqDJAF4Rk
mapenzi yanauma! Nyie acheni..yani Bia ndo anaweza akabaki kuwa ndo rafiki wa karibu ila ikiondoka kichwani daah...... New song #zuchu https://t.co/Fl92Om3eaP
Natamani ungekumbuka japo hata jema moja tu nililowahi kukutendea.. Pease bado unaishi mtimani..!!!
Aya sasa..
Tuendelee kushere barua hii imfikie popote alipo. https://t.co/WmGqmQbkh1