🚨 Mpaluka Said Nyangali (@mdudenyagali), Tanzanian activist, abducted from his home by armed men claiming to be police. His whereabouts are unknown.
@AmnestyEARO@hrw@amnestyusa@AsstSecStateAF
demand immediate action: investigate, ensure his safety, and stop Tanzania’s pattern of disappearances!
#FreeMdude
‼️🚨MDUDE’S LIVE IS IN DANGER🚨‼️
Mdude survived two brutal #EnforcedDisappearances and torture
He has documented in Kiswahili and English his ordeal
He has since been violently arrested and beaten and in the dawn today @tanpol brazenly took him from his home after beating him senseless
We need @SuluhuSamia to be held accountable for such continued extreme human rights violations
#FreeMdude
#FreeMdudeNyagali
#FreeHimNow
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe.
Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa.
Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za ajabu kwamba:
1. Watu wanatekwa kwasababu za kimapenzi
2. Kwasababu za ushirikina
3.kwasababu za kibishara.
Kuna familia zinasema na zina ushahidi wa ndugu zai kutekwa na kupotelea vituo vya polisi, lakini Chande hakusema hilo popote.
Kama ilivyokua tume ya Chande.
Hiki kinacholazimishwa kitaharibu na kuwagawa Watanzania zaidi.
Jaji wa Museveni ambapo wapinzani wanauwawa, wengine wako jela na wengine wamekimbia Nchi.. labda atawapa uzoefu zaidi wa namna ya kuumiza watu lakini sio kutafuta ukweli.
‼️UPDATE‼️
Leo watekaji wamepotea kwa Heche - sijui wamejificha au operesheni ilikufa jana baada ya kuanza kuwaanika sura!
Ila MKOME!
Nasema #TutaelewanaTu
😁😁 Bi Msumi amemgwaya Yuda!
Naona mipango imebuma ya kumwondoa kama walivyopanga
Ila vita haijaisha - tuendelee kuleta kuni na kuchochea moto vizuri hadi #TutaelewanaTu
‼️GARI LA KANDA MAALUM DAR ES SALAAM‼️
Sasa watoa taarifa wazalendo ndani ya mfumo wameamua! Kumbe kwa mfumo wa kawaida hizi plate number zinaonyesha magari tofauti kama Caterpillar LAKINI katika mfumo wao wa ndani (tumehifadhi taarifa na picha kamili) wanaonyesha hii plate number feki inatumika na gari ipi (Hardtop) na polisi wa mkoa gani ambapo hii T318EQJ inatumika na Kanda Maalum Dar es Salaam! Huko ni kwa Mafwele!
Tunashukuru wazalendo na endeleeni kutuma taarifa zaidi! Haiwezekani tukaishi kwa hofu nchi nzima kwa sababu ya kulinda urais wa mtu mmoja!
Na kwa kuwa @tanpol wanakataa kulinda usalama na uhai wetu akiwemo @HecheJohn sisi tutaendesha opereshemi yetu ya kufukunyua na kuwaanika watekaji!
Nasema #TutaelewanaTu
Yaani "kuwabaini Waliochochea na Kutoa fedha."
Vipi wale Askari Waliouwa Watanganyika wasio na hatia. Mbona anaitoa Serikali lawamani na wakati ndio Mhusika mkuu wa Mauaji?
Samia usituone Wapumbavu na Majaji wako ambao ushawapanhga kutoka Uganda(Ulikochukua Mercenaries) na Namibia.
Huu mchezo ulioupanga utafeli vile vile.
Huwezi kujitoa kwenye umwagaji wa Damu za watu. Haiwezekani.
Step down.
#TANZANIA: RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA UCHUNGUZI WA KUWABAINI WALIOCHOCHEA, KUTOA FEDHA MATUKIO YA OKTOBA 29
Rais Samia Suluhu leo Agosti 07, 2026 amezindua Tume ya Rais ya uchunguzi wa kina kuwabaini waliochochea, kutoa fedha kufanikisha yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi wa 2025.
Rais Samia ametangaza tume hiyo ambapo Wajumbe wa tume hiyo ni pamoja na Jaji Lila, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na atakuwa Kamishna na Mwenyekiti wake pamoja na Makamishna wa tume hiyo ambao ni Jaji mstaafu Gad Mjemmas, Jaji mstaafu Awadh Bawazir na Jaji mstaafu Aishieli Sumari.
Aidha, Rais Samia amemuongeza Majaji wawili, mmoja akitokea Namibi na mwingine Uganda kuongeza nguvu katika tume hiyo.
Tume hiyo imepewa miezi mitano yaani siku 150 na kama wataona haitoshi, wataongezewa muda.
Zaidi: https://t.co/TPe63Ahl41
#TANZANIA: RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA UCHUNGUZI WA KUWABAINI WALIOCHOCHEA, KUTOA FEDHA MATUKIO YA OKTOBA 29
Rais Samia Suluhu leo Agosti 07, 2026 amezindua Tume ya Rais ya uchunguzi wa kina kuwabaini waliochochea, kutoa fedha kufanikisha yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi wa 2025.
Rais Samia ametangaza tume hiyo ambapo Wajumbe wa tume hiyo ni pamoja na Jaji Lila, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na atakuwa Kamishna na Mwenyekiti wake pamoja na Makamishna wa tume hiyo ambao ni Jaji mstaafu Gad Mjemmas, Jaji mstaafu Awadh Bawazir na Jaji mstaafu Aishieli Sumari.
Aidha, Rais Samia amemuongeza Majaji wawili, mmoja akitokea Namibi na mwingine Uganda kuongeza nguvu katika tume hiyo.
Tume hiyo imepewa miezi mitano yaani siku 150 na kama wataona haitoshi, wataongezewa muda.
Zaidi: https://t.co/TPe63Ahl41
3 days to go 👊🏽
Release Tundu Lissu immediately! This repressive violent regime led by Samia Suluhu has zero evidence or witness for this trumped up trial and since 2026 February have kept Lissu in solitary confinement for fear of letting him go!
We demand his release
Nchi inadidimizwa na aspiring airhostess kutoka Kizimkazi na mnampotezea muda brilliant mind Tundu Lissu? Nyie CCM wote hamna akili kwa hiki! Simameni kama Polepole na hata Nchimbi (ingawa kinafiki kwa mbali) na semeni #FreeTunduLissu
Nchi mnaiua kabisa mnataka tuwe failed state?
#FreeTunduLissuNow
‼️Hii ndo picha halisi ya Muganyiz - dereva wa gari inayomfuatilia Heche ili kumteka na kumdhuru‼️
Picha zile za upelelezi wa Gen Z zimesaidia kumtambua ila hii picha ni 💯 na anajua hii picha ilipigwa lini na wapi! Ajue hatutanii!
Mdau ana uhakika na ana data za kumwaga kuhusu Muganyizi! Huwa anapenda mara nyingi kutumia jina la Egbert Benefaxard Tinkaligaile. Alikuwa ni dereva katika Halmashauri ya mji wa Kyerwa. Alichukuliwa na watu wa mfumo na anapewa kazi za ajabu kama hizi.
Familia yake ikanywe! Kuna data za ziada nimetumiwa hadi za familia ila kwa sasa mtafuteni mwambieni sasa basi!
Kazi za laana achaneni nazo nendeni mkalime kama mmeshindwa kukaa mjini!
#TutaelewanaTu
Update!
The driver has been identified through crowd sourcing as Muganyizi!
We are on our own - the police and state are hunting us!
https://t.co/JJHdE3FJNI
LEO NITAFANYA UCHAMBUZI MDOGO WA HII RIPOTI MUHIMU KUHUSU HAKI NA UHURU KUTOKA FREEDOM HOUSE
Tafsiri ya Muhtasari
Tanzania ilifanya uchaguzi wa kawaida wa vyama vingi baada ya mabadiliko yake kutoka kwa mfumo wa chama kimoja ktk miaka ya 1990, ingawa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa rais mwaka 2021 baada ya kifo cha Rais John Magufuli, ambaye alikuwa amewakandamiza wakosoaji katika upinzani, vyombo vya habari, na asasi za kiraia. Baada ya kipindi kifupi cha uhuru, Rais Hassan amejihusisha na mbinu hizo hizo za ukandamizaji. “Alichaguliwa” tena mwaka 2025 ambapo watu wa upinzani walipigwa marufuku kushindana na mamia ya watu waliuawa katika msako mkali dhidi ya wapinzani.
https://t.co/3PM5kpgdsX
‼️🚨TANZANIA NI BANANA REPUBLIC‼️Freedom House imetoa ripoti yake ya Mwaka 2025 na kuishusha Tanzania hadi kufika point 28 / 100 na kilichotushusha kama nchi kuwa moja ya nchi zinazofika kwenye hatua ya kuwa FAILED STATE ni kufeli kabisa katika Haki za kisiasa ambapo katika Kundi hiki cha haki tumepata point 6/40 yaani 15% - hiyo ni F = Failure. RIpoti ya Freedom House hutumiwa na mashirika ya kimataifa n ahata wawekezaji kupima hali ya haki na stability ya nchi! Sasa hapa mnatarajia kupata nini?
Katika haki ya kisiasa – sehemu ya kwanza ni mchakato wa uchaguzi ambapo tumezoa 0 yaani SIFURI inapokuja kwenye uchaguzi huru na wa haki! Kwa kifupi viongozi wote waliopo HAWAKUCHAGULIWA kihalali. Hii ni pigo kubwa na kwa sasa ni kwamba tumekaliwa kimabavu na CCM na genge la Samia. Hii siyo sisi tunasema bali wataalam wa Freedom House. Sehemu B inaongelea ushindani na ushiriki wa kisiasa huko nako kuna SIFURI na moja yaani ¼ tu. Hatuna uhuru wa kushiriki kisiasa kwa kifupi. Sehemu C ni kuhusu uendeshwaji wa serikali ambapo pia tumeendelea kushika mkia inapokuja kwenye suala la uwazi katika uendeshaji na ufisadi.
Sasa sehemu ya pili ya ripoti ni Haki za Kijamii ambapo tunaona pia tumefeli sana. Kwa mfano haki ya kuabudu tumeshuka na miaka yote ilikuwa ndo inatubeba kidogo na ripoti imeeleza ni kwa sababu ya kufungia makanisa – hii hakwepi huyu kimama! Inapokuja kwenye haki ya kujumuika tumepewa SIFURI kabisa! Na hii inashtua kimataifa yaani hakuna kabisa uhuru wa kujumuika basi kwa kifupi ni nchi ya kidikteta! Inapokuja utawala wa sheria na masuala ya mahakama zote tumepata ¼ - hivyo mahakama ijipime! Mwekezaji hana uhakika wa kupata haki mahakamani! Katika masuala ya mahakama ya mtu binafsi kama Kwenda popote nchini na kufungua Biashara ndo tumepumua kidogo na 2/4 lakini haitii moyo kabisa
Sasa nawaeleza CCM huyu kimama chenu anaenda KUIUA kabisa Taifa na kuifanya Tanganyika kuwa failed state alafu ataenda zake Kizimkazi – nyie mmekaa mnakodoa macho tu! Dunia imeshasema HAJACHAGULIWA kihalali amekosa legitimacy na hata legality kwa standard za kimataifa kuwa kwenye hicho kiti.
Chukueni hatua msituachie wanaharakati maana hii nchi yetu sote! Siku tukinyamazishwa mtafuata ninyi kumalizwa wabaki Samia na Kikwete na ukoo wao! Haya!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
💥KA-BOOM 💥
Gotcha Muganyizi!
Haya dereva tumetaarifiwa na mdau ni Muganyizi Tinkaligaile - mtu wa Karagwe!
Majirani hebu mwambieni huu mchezo wa kumfuatilia Heche na kutaka kumdhuru aache atafute kazi nyingine! Huu utekaji unakuja na laana kubwa!
Ila watani wangu vipi? 🧐 hebu mkanyeni mtu wenu asiwatie aibu!
Wananchi tumegeuka kuwa wapelelezi maana @tanpol mnasaidiana na watekaji! Tutajilinda wenyewe!
Eniwei #TutaelewanaTu
MASHUJAA WA HAKI.
Kutoka chuo cha Mt Augustino Mwanza, ni wanafunzi wa sheria alievaa t-shirt yenye picha ya Lissu anaitwa Kilemile Rajabu alikaa ndani siku 29 kwa makosa ya uhaini na uchochezi na aliesimama pembeni anaitwa Maulidi khamis, huyu alihakikisha katika hizo siku 29 Rafiki yake anapata mahitaji yote ya msingi akiwa polisi hadi pale alipoachiwa huru.
Jana wamefanikiwa kumaliza mitihani yao ya mwisho ya sheria hapo chuoni Inshaallah hawa ni mawakili wa baadae
#TANZANIA: MAMA ASIMULIA MUME WAKE ALIVYOTEKWA MPAKA LEO HAJULIKANI ALIPO
Dada aliyejitambulisha kwa jina la Elizabeth Chacha mkazi wa Sirari mkoani Mara leo Agosti 06, 2026 amesimuliza mbele ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche namna mume wake alivyopotea tangu Oktoba 06, 2025 mpaka leo hajapatikana.
Hayo yametokea Heche alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Sirari mkoa wa Mara leo Agosti 06, 2026.
Zaidi: https://t.co/LqtkLBlNSd
We must learn to live together as brothers or we perish together as fools.
Binadamu yeyote ambae hawezi kukemea vitendo vya kihuni vya watu kutekwa na kupotezwa hafai kuwa binadamu..
Eneo la Tarime watu zaidi ya 25 wametekwa na kupoteza ndani ya kipindi cha mwaka moja tu.
Anaetaka tunyamazie uhuni kama huu atafute kazi nyingi e ya kufanya.
Tunataka kujua ndugu zetu walipo.
#BREAKING: OLEPOSE AKINUKISHA! 'WOTE TUKUTANE KORTINI KESI YA LISSU'
Mwanaharakati wa haki za kibinadamu na mwanachama wa chadema Isaya Ole pose ametoa wito kwa wanachama na wananchi kufika katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Jumatatu, Agosti 10, 2026, kuanzia saa tatu asubuhi, ili kufuatilia mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
MORE: https://t.co/TZMHkLIw6b
#BREAKING: Uganda’s football captain is killed in a street attack. Several Ugandan athletes have chosen not to return home after competing abroad. The U.S. recently issued its highest-level travel advisory for Uganda, warning of crime, terrorism, and other security risks.
These developments don’t stand alone. They come against the backdrop of years of documented concerns over repression, arbitrary arrests, and restrictions on dissent. Together, they reinforce questions about the country’s security and human rights trajectory—and about the protection Ugandans can expect at home.
@StateDept@realDonaldTrump@eu_eeas@UNHumanRights@hrw@FCDOGovUK
#Uganda
"Since he was kidnapped months ago, I don't know anything about what's happening to him. It is the government that took my son ... The government is meant to protect us but has turned against us, and worse of all against my son."
https://t.co/YtlIWJ0TC5 #FreeSamMugumya