@X_for_All_X_uni@ngughii Hahaha maisha imekua ngumu for all kenyans since 1963 haijaanza saa hii....wewe labda ulikua mtoto mdogo ndio umetoka kwa nyumba ya mamayako
Most of us left the country around 2017 after business kufanya vibaya under jaydens leadership, tuliona mahali nchi inaenda