@Sativa255 Wesley Sneijder mwaka 2010 alichukua Seria A,Uefa CL na alikuwa finalist wa World Cup dhidi ya Spain https://t.co/FZwWRlWeL7 bado alipewa Messi kwa kigezo cha kuchukua La Liga tu,hizi tuzo wakati mwingine wanazipanga wenyewe.Ilikuwaje akapewa Messi badala ya Iniesta how?
@godbless_lema Hivi kuna mfanyabiashara anaemzidi huyu jamaa kiuchumi?.Mhh labda sio Tz hakika.Hii comment haihusiani na hiyo post ๐๐พ๐๐พ๐
@Mwabuk2Boniface Hapo ndio nashangaa yani mtu anataka awakomboe wenzie kwenye utumwa,halafu haohao watumwa wanaona kama vile una tamaa.Dah,ila nimegundua vijana wengi hawana elimu ya ufahamu yani most of them hatujui tunataka nini!