Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia nyingine kwa kufungua mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi Mbagala.
Miundombinu bora ni msingi wa uchumi imara na maisha bora kwa wananchi.
Kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi Mbagala unaleta usafiri wa haraka, salama na wenye uhakika kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Kazi Na Utu Tunasongambele
A stronger energy sector means stronger businesses, more employment opportunities and a more competitive economy. Tanzania is investing for the future.
The world is watching Tanzania’s energy transformation. A $20 billion refinery project places the country among nations making bold moves toward energy leadership.
Tanzania is building the foundations for industrialization. Energy infrastructure such as the Tanga refinery will support manufacturing, trade and economic expansion.
The Tanga Regional Energy Hub will strengthen the connection between energy production, maritime trade and industrial growth, creating a stronger economic ecosystem for the region.
Strong economies are built through strategic investments. Tanzania is laying the foundation for a future powered by infrastructure, industry and innovation.
The agreement between TPDC, UNOC and Vitol Bahrain E.C. represents a new chapter in Tanzania’s energy story—one focused on investment, innovation and regional cooperation.
Dkt.Samia Suluhu Hassan ashitua tena jiji Tanga.
■Aja na ujenzi kiwanda kusafisha mafuta cha Tshs trilioni 56
■Yeye, Museveni washuhudia makubaliano ya awali Dar
■Ni ya uwekezaji wa pamoja wa VITOL, TPDC na UNOC
EACOP YAWAINUA VIJANA HANDENI KWA AJIRA NA UJUZI WA KISASA
KHALID ALLY TABALEZI, mkazi wa Kijiji cha Sindeni, Kata ya Sindeni, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ameipongeza Serikali kwa kutekeleza Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), akisema umekuwa na manufaa makubwa kwa wananchi, hususan vijana, kupitia fursa za ajira na ukuzaji wa ujuzi.
Amesema mradi huo umewezesha vijana wengi kupata ajira na kujifunza stadi mbalimbali za ujenzi, ikiwemo kazi za uchomeleaji na uundaji wa miundombinu ya vyuma, jambo lililoongeza uwezo wao wa kitaalamu na kuwajengea uzoefu wa kazi unaoweza kuwasaidia hata baada ya mradi kukamilika.
Aidha, amesema EACOP imeleta mabadiliko chanya katika jamii kwa kuhamasisha utunzaji wa mazingira, kutoa mafunzo ya ujasiriamali na kuwawezesha wananchi wanaoishi jirani na mradi kupata fursa za kuongeza kipato kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi.
Kwa mujibu wa Khalid, waajiriwa wengi walioanza kufanya kazi katika mradi huo walikuwa na ujuzi mdogo katika sekta ya ujenzi, lakini kupitia mafunzo na uzoefu walioupata kutoka kwa wataalamu wenye weledi, sasa wana uwezo wa kutekeleza kazi nyingi ambazo awali hawakuweza kuzifanya.
Ameeleza kuwa vijana wengi watakaomaliza kufanya kazi katika mradi huo watakuwa mafundi wenye ujuzi wa hali ya juu na mbinu za kisasa, jambo litakalowawezesha kushindana katika soko la ajira na kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi mingine ya maendeleo nchini.
Katika hatua nyingine, Khalid ametoa wito kwa viongozi wa Serikali kuendelea kuwaamini vijana wa Kitanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati kama EACOP na kuendelea kuvutia uwekezaji wa miradi mingine kama hiyo, ili kuongeza fursa za ajira, kujenga uwezo wa kitaalamu na kuimarisha kujiamini kwa vijana.
Mwisho, amewapongeza wasimamizi wa mradi huo kwa kusimamia kwa umakini masuala ya usalama na afya za wafanyakazi pamoja na uhifadhi wa mazingira. Amesema tofauti na miradi mingi, EACOP imeweka mkazo mkubwa katika kuhakikisha shughuli zote zinafanyika kwa kuzingatia viwango vya usalama, utunzaji wa mazingira na kuhakikisha kunakuwa hakuna madhara ya kimazingira "Zero Harm", na kulinda viumbe hai.
You described the Tanga deal as a response to Kenya. That’s a major misunderstanding.
This project is part of a longterm national strategy with a clear objective under Vision 2050. It was never conceived as a reaction to our neighbours.
Tanzania is not competing with its neighbours we are simply raising our own standards.
If there is any competition, President Samia has made it clear that the real race is not against another country, but between today’s Tanzania and tomorrow’s Tanzania.
Kizimkazi Festival 2026 imeanza kwa kishindo!
Kizimkazi imenoga kwa shangwe na furaha, huku wakazi wake wakifanya maandalizi makubwa yanayoakisi ukarimu, utamaduni na mshikamano. Karibu tushuhudie uzuri wa Kizimkazi na kusherehekea pamoja.
The future of energy in East Africa is being shaped in Tanzania. Through the Tanga Regional Energy Hub, Tanzania is moving beyond transporting crude oil to refining, storing and distributing petroleum products within the region.