Wanaume wamepewa sifa maalum kwa amri ya uumbaji, na sababu ya uwezo wao wa mantiki ni imara zaidi ya ule wa wanawake, wao huchukuliwa kama walezi wa familia zao. Mwanamke ni kituo cha wema na ni kiumbe chenye hisia kubwa sana. Kuwepo kwake hutegemea huruma na upendo. #Tusaidiane
@SuluhuSamia Maisha magumu kumepelekea wao kugeuza kituo cha huruma na upendo kuwa NYENZO ya kujipatia chochote na kuondoa maana halisi ya utu wao.Kwa mantiki hii tutasaidianaje!?tutaonekana kituko ni kuacha maji yapite na mkondo wake tu
Hongera sana Mhe. Rais Hage Geingob. Your re-election is clear testimony of the trust and confidence that Namibians have bestowed on you. I wish to assure you of our continued support to further strengthen the historical ties between our two brotherly countries.
Popote ninapoenda mimi ni Mnyama, kama sio jezi basi hata kifaa changu kama hapa kinakuwa na alama ya 🦁
📸 Leo nilipokuwa kwenye mafunzo ya gofu na watoto wangu.
(Bado nasubiri tag ya mashabiki leo kwa Burna Boy na jezi ya SIMBA 😂 Kazi na dawa lakini kwa umakini 😊)
HAPPENING NOW: The African Court in Session; The President of the Court Hon Justice Sylvain Ore reads Judgment in the matter of Application 013/2017 Sebastien Germain Ajavon v Republic of Benin (Reparations). Watch livehttps://buff.ly/2CIUtIf
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. @umwalimu mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma.
“Serikali imetimiza wajibu wake lakini kwamasuala ya uchumi wa mtu mmoja mmoja ni jukumu letu sisi lazima tujipange kufanya kazi”- @MagufuliJP#JPMDodoma
Mhe. Rais Magufuli aweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Dodoma.
• Ujenzi wa kituo hiki utakamilika Februari 2020 kwa shilingi Bilioni 24.
• Kituo kitakuwa na uwezo wa kuchukua mabasi 250, magari madogo 600, bajaji 150 na bodaboda 250.
#HapaKaziTu
“Nimefurahi pia ulivyoeleza kwamba mmehamia hapa, na wewe IGP umehamia hapa, ningeshangaa kuwa mimi nimehamia na wewe bado haupo, ningeteua IGP wangu wa hapa Dodoma,” – Rais John Magufuli.
#AzamTVUpdates#AzamNews#UTV#JPMDodoma
Chuo Kikuu cha Dodoma chaeleza sababu ya kumtunukia Rais @MagufuliJP shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa.
Msikilize Makamu Mkuu wa UDOM, Prof Faustine Bee akielezea kwa kina!
#AzamTVUpdates#AzamNews#MagufuliUDOM
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dr.Hussein Mwinyi amesema Amani iliyopo nchini haitokani na ukubwa wa jeshi tulilonalo wala wingi wa askari wake bali unatokana na utulivu walionao wananchi wenyewe.#MajihufuataMkondo.@TZMsemajiMkuu .@MariaSTsehai .@fatma_karume
Hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Nbora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.Akili ni "superior" kuliko elimu kwa 7b akili ndio ilibuni elimu.@HKigwangalla .@moodewji
Elimu v/s Akili. Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa waliyofundishwa shuleni, vichwa vnakuwa vtupu. .@NamdiAzikiwe .@MagufuliJP
Viongozi wa kijeshi wa kukumbukwa vita vya Kagera:
John Butler Walden (Black Mamba); Silas Mayunga (Mti Mkavu); David Msuguri (Jenerali Mtukula); M.G. Ben Msuya, Colonel Tumbi (Kamanda Radi); M.G. Tumainieli Kiwelu; na M.G. Mwita Marwa (Jenerali Kambale) - BWM #MyLifeMyPurpose