@polo_kimanii ...Nikatoa Itel yangu Nikascan namna hii mamangu menu ikapop kwa simu ... Vitu Mingi hatujuii juu ya kuteseka sijaii heal ady waleo Tutafte pesa tu
@polo_kimanii Sasa mimi iko huyu wangu akasema nimezoea Smocha Wacha leo tukakule Ng'ombe yaani change of diet....Bado hamniulizi nilijua aje any place you Go make sure you know the Exits.....Menu ilikuja namna hii na QR code nikajua wameniletea Wifi Niscan mamayooo.... Poverty wewe 😂....
@akilitano@pyari_eyesha Kuna siku huyo dem ya mzae amenileta juu nikaskia kama naeza muuliza kwani mimi si mtoto wake ....Bad man 😂 na ajai nipata na bhagi zenyewe ama hata dalili
@pop_outpace_@ngumaa__ Current Age buana naamka sunday naweka kifuli nazima kama mlevi mchana mzima niamke jioni nijue nitakula nini ama nani nisikufie kwa hio Cube yangu