Mastering Procurement & Supply Chains π | Cargo Tally Pro π¦ | Global Shipping Aficionado π’ | Cultivating Modern Rice & Tobacco Farmer πΎ I π¬ to serve the π
Good things come to me easily.
Life is good to me.
I am strong and energetic.
I am rich in all areas of my life!
I am a Money magnet.
Money flows to me from Multiple sources.
I attract prosperity with ease.
I am healthy, wealthy and happy.
Everything works out in my favour.
Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba⦠Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Asubuhi hii Mlowo imetupokea kwa furaha namna raha.
Nimefurahi kuongea na wananchi wa Mlowo na jimbo la Mbozi.
Watanzania wako tayari kwa mabadiliko makubwa ya uongozi.
Mhe. @HecheJohn, Makamu Mwenyekiti Bara, leo tarehe 20 Juni 2026 akiwa Songea Mjini akiendelea na Operesheni #KatibaMpya, #FreeTunduLissu, amesimikwa na wazee wa Kingoni kuwa Chief wa Wangoni wa Mkoa wa Ruvuma. Katika tukio hilo la kimila, wazee hao walimvisha vazi la kichifu la Kingoni kama ishara ya heshima na utambuzi wa kazi kubwa anayofanya ya ujenzi wa demokrasia nchini na kupigania haki kwa watanzania.
"Vyombo vya dola vikiwemo baadha ya askari Polisi kupiga risasi na kuua watu Oktoba 29, 2025 kwa sababu wanathamini tembo kuliko watu. Serikali ya CCM inawaona Tembo kama ndio watu halafu watu kama wanyama." Mhe. @jjmnyika
Mapema leo msafara wa Katibu Mkuu Mhe @jjmnyika, umesimamishwa na Wananchi wa Kijiji Cha Chinongwe Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi. Katibu Mkuu na viongozi wengine wapo Kanda ya Kusini kuendelea na Operesheni #KatibaMpya#FreeTunduLissu.
Leo tupo hapa Ruaha β Mikumi, wilaya ya Kilosa, mkoa wa Morogoro. Wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Boniface Jacob watazungumza na wananchi wa RUAHA. Muda huu ni wakati tunaingia uwanjani, umeona huo mtitiiii? Watu ni wengi kama mchanga. #peoplespower